Results for kuendelea translation from Swahili to Portuguese

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Portuguese

Info

Swahili

kuendelea

Portuguese

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Portuguese

Info

Swahili

na iliwafikia wakati wa asubuhi adhabu yangu ya kuendelea.

Portuguese

e, ao amanhecer, surpreendeu-os um castigo, que se tornou perene.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

kinyume chake, tunahitaji watumiaji wetu kuendelea kuboresha programu hiyo.

Portuguese

pelo contrário, precisamos da opinião dos nossos usuários, para tornar o app sempre melhor.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini mtu anataka tu kuendelea na maasi kwa siku zilioko mbele yake.

Portuguese

porém, o homem deseja praticar o mal, (mesmo) perante ele.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

na wakiona ishara hugeuka upande na husema: huu uchawi tu unazidi kuendelea.

Portuguese

porém, se presenciam algum sinal, afastam-se, dizendo: É magia reiterada!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

irrawaddy alisisitiza kuendelea kwa matatizo yanayowakabili waandishi wa habari nchini myanmar licha ya mageuzi kutekelezwa na serikali

Portuguese

'the irrawaddy' destaca as contínuas dificuldades vividas pelos jornalistas da birmânia, apesar das reformas implementadas pelo governo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini hawataweza kuendelea zaidi kwa maana upumbavu wao utaonekana wazi kwa wote. ndivyo ilivyokuwa kwa akina yane na yambre.

Portuguese

não irão, porém, avante; porque a todos será manifesta a sua insensatez, como também o foi a daqueles.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wafanyakazi wa jarida la kila siku la apple daily wakionesha msimamo wao wa kuendelea kufanya kazi hata baada ya kushambuliwa mnamo oktoba 13.

Portuguese

funcionários do apple daily news mostraram sua determinação em manter a redação em funcionamento mesmo após o ataque da multidão em 13 de outubro.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninataka kuwahamasisha nyote kuendelea kujifunza, kuendelea kuwafundisha wengine na kwa hakika kuyaanza mapya mapya kwenye lugha mpya, kwa kuizungumza.

Portuguese

eu quero incentivar todos vocês a continuar a aprender, a ensinar um ao outro e a realmente colocar a sua vida nisso, em falar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na pale musa alipo mwambia kijana wake: sitoacha kuendelea mpaka nifike zinapo kutana bahari mbili, au nitaendelea kwa muda mrefu.

Portuguese

moisés disse ao seu ajudante: não descansarei até alcançar a confluência dos dois mares, ainda que para isso tenha deandar anos e anos.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

hakika, ingawa hataamka ampe kwa sababu yeye ni rafiki yake, lakini, kwa sababu ya huyo mtu kuendelea kumwomba, ataamka ampe chochote anachohitaji.

Portuguese

digo-vos que, ainda que se levante para lhos dar por ser seu amigo, todavia, por causa da sua importunação, se levantará e lhe dará quantos pães ele precisar.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sasa wahindi wa ki-yukpa wameyatwaa tena mashamba hayo makubwa, na wale wamiliki waliokuwa wakiyashikilia na ambao walitegemea nyama na uzalishaji wa mazao ya mifugo kuendesha maisha wanashindwa kuendelea na kazi zao.

Portuguese

atualmente os índios yukpa estão ocupando as fazendas da região e os proprietários de terra, que vivem da exploração de carne e leite, estão impedidos trabalhar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mchakato huo (wa ombi la kwenye mtandao) unaipatia ocas mamlaka ya kuendelea kuongea na mashirika mengine, na wauzaji wanafurahia idadi iliyoongezeka ya watu wanaolitambua jarida hilo mitaani.

Portuguese

através dela, a ocas adquire ainda mais legitimidade nos contatos com outras instituições, sem falar na alegria dos vendedores quando perceberem a quantidade de pessoas que passarão a reconhecê-los nas ruas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnapaswa, lakini kuendelea kuwa imara na thabiti katika imani hiyo, na msikubali kusukumwa mbali na tumaini lile mlilopata wakati mlipoisikia habari njema. mimi paulo nimekuwa mtumishi wa hiyo habari njema ambayo imekwisha hubiriwa kila kiumbe duniani.

Portuguese

se é que permaneceis na fé, fundados e firmes, não vos deixando apartar da esperança do evangelho que ouvistes, e que foi pregado a toda criatura que há debaixo do céu, e do qual eu, paulo, fui constituído ministro.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa bahati mbaya, vikwazo kadhaa kutoka kwa watendaji wa serikali dhidi ya vyombo vya habari, hususani katika kipindi hiki, umetoa mwanya wa kuongezeka kwa hali ya sintofahamu kuhusiana na ugonjwa huu, na pia kuendelea kuongeza hali ya jamii kutokuamini uwepo wa ugojwa huu.

Portuguese

infelizmente, várias acções tomadas pelo governo contra órgãos de comunicação social, sobretudo nos tempos que correm, criaram espaço para um cepticismo crescente em relação à doença e aumentaram ainda mais a negação do ébola dentro da comunidade.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

viongozi wa umma kuendelea kutumia kashfa za kesi za kisheria kunyamazisha vyombo vya habari, na sekta ya kihistoria yenye mazingira magumu — kama vikundi vya wenyeji — bado hawana uwezo wa kushiriki kwa uwazi katika masuala ya maslahi ya umma.

Portuguese

funcionários de governo continuam a abrir processos por difamação para silenciar a imprensa. setores historicamente vulneráveis - como os povos indígenas - seguem incapazes de participar abertamente das questões de interesse público.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,749,198,921 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK