Usted buscó: harambee (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

harambee

Inglés

fundraiser

Última actualización: 2021-09-10
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kocha wa zamani wa ufaransa, henri michael atatangazwa wiki ijayo kama kocha wa harambee stars.

Inglés

former france coach henri michel will next week be named coach of the national football team, harambee stars.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

aliandaa tamasha la calypso la harambee kisiwani humo mnamo mwaka 1996, ili kukabili uharibifu uliasababishwa na volkeno.

Inglés

he organized a fundraising calypso festival on the island in 1996, in response to the devastation caused by the volcano.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kufuatia bahati mbaya ya harambee stars kwa mchezo huu mzuri, washika dau wamekuwa wakiwasilisha majina ya makocha kutoka nchi mbalimbali kwa nafasi ya ukocha wa timu hiyo ya taifa.

Inglés

after witnessing the harambee stars struggle to strike lustre in the beautiful game, stakeholders have been touting names foreign to the kenyan tongue for the national team’s top job.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

uteuzi huu utagusa hisia za watu wengi. kazi sasa ni kwa michel. matokeo mabaya ya harambee stars hasa kwa miaka minne ya hapa baadaye ni jambo ambalo mashabiki wengi wangependa kulisahau.

Inglés

this appointment will prompt various views and michel's job is full on from the word go.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hali inafanywa kuwa ngumu zaidi na namna vyama vyetu vya kisiasa visivyo na njia imara za kuendesha harambee ya kuchangiwa fedha kwa ajili ya kuendesha shughuli zake, hali inayosababisha uwanja wote wa kisiasa kuwa vurugu na sehemu ya miradi kujipatia-utajiri-wa-haraka.

Inglés

that is made more complicated by how our political parties have no established means of raising funds for their very survival, rendering the entire political arena a charade and a get-rich-quick scheme.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,720,560,709 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo