Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
misunderstanding
kutoelewana
Последнее обновление: 2016-09-28
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
below he warns against a possible misunderstanding of esri's results:
hapa chini anaonya kuhusu uwezekano wa kutokueleweka kwa matokeo ya utafiti wa esri:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
clearly misunderstanding what permanent residence and dual citizenship are, user canadian wrote:
huku ikiwa bayana kabisa kwamba haelewi maana ya ukazi wa kudumu na uraia wa nchi mbili, mtumiaji canadian aliandika:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
instead, he said, it was a misunderstanding among the soldiers of tiger battalion, which was then mishandled till it escalated into a countrywide rebellion.
badala yake, alisema, palitokea hali ya kutokuelewana miongoni mwa wanajeshi wa tiger battalion, ambao hawakudhibitiwa mpaka kutokuelewana huko kukaeneza uasi nchini kote.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
their nightmare came to an end when they were released after their parents bailed them out even though the investigator called what happened a "misunderstanding."
jinamizi lao lilifikia mwisho wakati walipoachiliwa baada ya wazazi wao kuwawekea dhamana ingawa mpelelezi aliliita tukio hilo kuwa ni "kutokuelewana."
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
and we did not send before you any messenger or prophet except that when he spoke [or recited], satan threw into it [some misunderstanding].
na hatukumtuma kabla yako mtume wala nabii ila anapo soma, shet'ani hutumbukiza katika masomo yake.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
in a suicide note now held by police, kamanya reportedly said he took his life because of misunderstandings related to politics.
kupitia ujumbe aliouacha ambao kwa sasa upo mikononi mwa polisi, kamanya anasemekana kusema kuwa aliamua kujinyonga kwa sababu ya migogoro ya kisiasa.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: