Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
ushuhuda
testimony
Последнее обновление: 2013-01-05
Частота использования: 1
Качество:
ushahidi ilikusanya taarifa za ushuhuda wa kuona za mapigano na kuziweka kwenye ramani.
ushahidi collected eyewitness reports of violence placed them on a map.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mwaka 2007, alitoa ushuhuda wake kama askari mtoto mbele ya umoja wa mataifa.
in 2007, she testified at the un to share her experiences as a child soldier.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mwanablogu huyo ameweka ushuhuda wake kwa lugha ya kiingereza kwenye makala hii iliyo katika blogu inayokusanya matukio nchini misri iitwayo egyptian chronicles.
she shares her testimony, in english, in this post on egyptian chronicles.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
taarifa hii ilitolewa katika mtandao wa koaci.com na msichana mmoja wa cameroon kutokana na ushuhuda alioutoa dada yake ambaye ni jirani wa msichana aliyefariki.
this was reported to koaci.com by a young cameroonian woman, after the revelations by her sister, who is a neighbor of the victim.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
taarifa hizi fupi zilizokusanywa na southern tagalog exposure yatoa ushuhuda kuhusiana na utoaji wa mafunzo ya kijaeshi kwa jamii ya wazawa pamoja na uporaji wa ardhi za urithi za wazawa.
these brief statements gathered by southern tagalog exposure bear witness to the intense militarization of indigenous communities and plunder of their ancestral lands.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
baada ya petro na yohane kutoa ushuhuda wao na kuutangaza ujumbe wa bwana, walirudi yerusalemu. walipokuwa wanarudi walihubiri habari njema katika vijiji vingi vya samaria.
and they, when they had testified and preached the word of the lord, returned to jerusalem, and preached the gospel in many villages of the samaritans.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
kisha mwanakondoo akavunja mhuri wa tano. nikaona pale chini ya madhabahu ya kufukizia ubani roho za wale waliouawa kwa sababu ya ujumbe wa mungu, na kwa sababu ya ushuhuda waliotoa.
and when he had opened the fifth seal, i saw under the altar the souls of them that were slain for the word of god, and for the testimony which they held:
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
katika blogu inayoitwa world is witness, abramovitz anasimulia ushuhuda wa aliyenusurika kwenye mauaji ya kimbari aliyeitwa venuste, ambapo ushuhuda wake uliigusa mno hadhira iliyokuwepo wakati wa maadhimisho hayo:
in the blog world is witness, abramovitz recounts the testimony of a genocide survivor called venuste that moved the audience with his story during the ceremony:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
jambo la kushangaza zaidi, ushuhuda wa zhong biao na wei xing, kama ulivyonukuliwa kwenye barua hiyo, uliandaliwa maalumu kwa ajili ya mdahalo huu lakini umenukuliwa kama kwamba watu hao wawili ni wasomi wanaofahamika vema sana na umma.
interestingly, the two accounts of zhong biao and wei xing, quoted in the letter, were set up for the purpose of this debate but quoted as if the two individuals were well-known public intellectuals.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
video ambayo serikali ya colombia haitaki tuone yaonyesha fujo inayotumiwa dhidi ya jamii mbili zilizoko ukingoni wa mto, ambazo zimetumia njia za amani kupinga kujengwa kwa bwawa hilo. video hiyo pia inakusanya maoni na ushuhuda ya waliokumbana na vurugu hizo, pamoja na waliojeruhiwa.
the video the colombian government doesn't want us to see shows the violent eviction faced by two river bank communities standing up peacefully against the building of the dam, and pulls together the testimonies of those who faced the violence and were injured.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwa upande mwingine, james chikonamombe, raia wa zimbabwe anayeishi amerika, anayaona mashambulizi haya kama ushuhuda wa kushindwa kwa dhana ya umajumui wa afrika (falsafa ya kisiasa inayosisitiza mshikamano miongoni mwa wafrikaa):
meanwhile, james chikonamombe, a zimbabwean national based in the us, saw the attacks as evidence of the failure of pan africanism (a political philosophy that promotes solidarity among africans):
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: