Results for exceedingly translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

exceedingly

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

but man is exceedingly contentious.

Swahili

lakini mwanaadamu amezidi kuliko kila kitu kwa ubishi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he is most forbearing, exceedingly forgiving."

Swahili

hakika yeye ni mpole na mwenye maghfira.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

verily man is highly unjust, exceedingly ungrateful.

Swahili

hakika mwanaadamu ni dhaalimu mkubwa, mwenye kuzikufuru neema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they were indeed a wicked people, exceedingly disobedient.

Swahili

hakika hao walikuwa watu wabaya, wachafu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then go to the pharaoh as he has become exceedingly rebellious.

Swahili

nendeni kwa firauni. hakika yeye amepindukia mipaka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

go to the pharaoh as he has become exceedingly rebellious."

Swahili

nenda kwa firauni; kwani hakika yeye amepindukia mipaka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

saying 'go to pharaoh, he has become exceedingly insolent,

Swahili

nenda kwa firauni. hakika yeye amezidi jeuri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the foolish among us were wont to forge lie against allah exceedingly.

Swahili

na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the 'ad, they were destroyed by a furious wind, exceedingly violent;

Swahili

na ama a'di waliangamizwa kwa upepo mkali usio zuilika.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and we being exceedingly tossed with a tempest, the next day they lightened the ship;

Swahili

dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

when his disciples heard it, they were exceedingly amazed, saying, who then can be saved?

Swahili

wale wanafunzi waliposikia hivyo walishangaa, wakamwuliza, "ni nani basi, awezaye kuokoka?"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

they said, ‘o noah, you have disputed with us already, and you have disputed with us exceedingly.

Swahili

wakasema: ewe nuhu! umejadiliana, na umekithirisha kutujadili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

by comparison, blogging is still in an infant stage, given its exceedingly higher demands on time and content.

Swahili

kwa kulinganisha, bado kuna uchanga wa kublogu, kwa kuangalia mahitaji makubwa ya muda na maudhui.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

covs have a proof-reading exoribonuclease, deletion of which results in exceedingly high mutability and attenuation or even inviability.

Swahili

virusi vya covs vina eksoribonuklisi ya udurusu, ambayo kufutwa kwake husababisha kuongezeka kwa uwezo wa kubadilika, kupunguza athari au hata uwezo wake.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this because there will appear to them from allah something (exceedingly dismal which) they had never even imagined.

Swahili

na yatawadhihirikia kwa mwenyezi mungu wasiyo kuwa wakiyatarajia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in russia, it is exceedingly rare for anyone who regularly appears on television or the silver screen to criticize, let alone denounce, vladimir putin.

Swahili

nchini urusi, ni nadra sana kwa mtu yeyote anayeonekana kwenye televisheni mara nyingi kumkosoa, achilia mbali kumpinga, vladimir putin.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and we decreed for the children of israel in the book: 'you shall corrupt the land twice, and you shall ascend exceedingly high'

Swahili

na tukawahukumia wana wa israili katika kitabu kwamba: hakika nyinyi mtafanya fisadi katika nchi mara mbili, na kwa yakini mtapanda kiburi, kiburi kikubwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah it is who made the earth a dwelling place for you and made the sky a canopy, who shaped you -- and shaped you exceedingly well -- and gave you good things as sustenance.

Swahili

ni mwenyezi mungu aliye kufanyieni ardhi kuwa ni pahala pa kukaa, na mbingu kuwa dari. na akakutieni sura, na akazifanya nzuri sura zenu, na akakuruzukuni vitu vizuri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we are bound to thank god always for you, brethren, as it is meet, because that your faith groweth exceedingly, and the charity of every one of you all toward each other aboundeth;

Swahili

ndugu, tunapaswa kushukuru mungu daima kwa ajili yenu. inafaa kwetu kufanya hivyo kwani imani yenu inakua sana na kupendana kwenu kunaongezeka sana.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,746,941,977 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK