Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
haiti: experiences of the earthquake · global voices
haiti: madhira ya tetemeko la ardhi
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pwoje espwa - hope in haiti also blogs about their experiences:
kwa upande wao pwoje espwa - matumaini katika haiti nao wanablogu kueleza yale wanayoshuhudia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
how does sharing corruption experiences online contribute to the fight against corruption?
collins baswony anaeleza njia ambayo kuwasilisha ripoti kwa mtandao itaweza kusaidini dhidi ya vita vya ufisadi:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a number of mixed race and religion families are sharing their experiences in the blogosphere.
idadi kadhaa ya familia za watu waliocahanganyika kiasili na wa dini tofauti wanasimulia kuhusu uzoefu wao kupitia ulimwengu wa blogu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
revoda, a mobile app that provides untrained citizens with a tool to share their election experiences.
revoda, programu-tumizi ya kwenye simu za kiganjani unaowapa raia wasio na mafunzo nyenzo ya kushirikishana uzoefu wa uchaguzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
and it was emotional. even the government ministers were shedding tears, remembering their experiences and lost loved ones.
na kwa kweli lilikuwa tukio la kuamsha hisia kali kwani hata mawaziri wa serikali waliokuwepo walitiririkwa na machozi, wakikumbuka yaliyotokea kipindi hicho na hasa kwa kuwapoteza watu waliowapenda.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
express your view and experiences in your blog, and let’s stand together in discussing inequality in all its forms.
toa maoni yako na uzoefu wako kwenye blogu yako, na tusimame pamoja kujadili kila aina ya hali za kutokuwepo kwa usawa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the idea—a non-profit project—aims to document the experiences of legal but also illegal migration.
wazo hili la mradi usio wa kimaslahi umelenga kuweka kumbukumbu ya uhalisia wa hali kwa wahamiaji haramu na pia wale waishio kihalali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
erin, a pcv who blogs at reflections and experiences in al maghreb al aqsa, explains her host family's eid traditions, saying:
erin, mfanyakazi wa kujitolea anayeblogu katika reflections and experiences in al maghreb al aqsa, anaelezea tamaduni za eid za familia yake ya kufikia, anasema:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
journalist jenan moussa is back in aleppo, syria, tweeting her experiences as the war between pro- and anti-government forces intensifies.
mwandishi wa habari jenan moussa amerudi mjini aleppo, nchini syria, akitwiti tajiriba yake kadri vita kati ya vikosi vinavyopinga serikali na vile vinavyoiunga mkono serikali inavyozidi kushika kasi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
during the journey, the slave traffic, he lost his personality, but his culture, his history, his landscape, his experiences; they came with him.
wakati wa safari, safari ya utumwani, alipoteza utu wake, lakini utamaduni wake, historia yake, nchi yake, na uzoefu wake alikuja navyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a very traumatic experience
uzoefu wa kiwewe sana
Last Update: 2021-06-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: