Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
i feel like to go
nahisi kama
Last Update: 2023-12-20
Usage Frequency: 1
Quality:
i feel like a 21st century caveman, trying to communicate with the most primitive of ways, hand waving and speaking english in a very slow and loud way.
najihisi kama mtu wa zama za mawe aliye katika karne ya 21, maana natumia njia za kijima kabisa ili kuwasiliana, huku nikitumia ishara za mikono na kuzungumza taratibu kwa sauti ya juu katika kiingereza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
“actually israel is trying to force us into a meaningless life like this,” he says. “like, sometimes i feel that all that really matters to me right now is a kilo of gas. i built a stove for my family and i feel like i did something amazing.”
"kwa kweli israeli inataka kutufanya tuwe hivyo hivi sasa", alisema. "kwa mfano, saa nyingine jambo kubwa ambalo hulifikiria ni jinsi ya kupata kilo ya gesi, nilijenga jiko kwa ajili ya familia yangu na nilijisikia kana kwamba nilifanya jambo la kustaajabisha."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting