Results for tribulation translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

tribulation

Swahili

tribulation

Last Update: 2023-06-27
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the church does not belong to tribulation

Swahili

wewe ni wa kwangu

Last Update: 2023-09-16
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he who fits you with tribulation is the friend of the proverb niainagan.

Swahili

akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki niainagan ya methali

Last Update: 2022-04-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

rejoicing in hope; patient in tribulation; continuing instant in prayer;

Swahili

tumaini lenu liwaweke daima wenye furaha; muwe na saburi katika shida na kusali daima.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and not only so, but we glory in tribulations also: knowing that tribulation worketh patience;

Swahili

naam, si hayo tu, bali tunafurahi pia katika taabu tukijua kwamba taabu huleta saburi,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and we sent no prophet unto any township but we did afflict its folk with tribulation and adversity that haply they might grow humble.

Swahili

na hatukumtuma nabii yeyote katika mji ila tuliwapatiliza wakaazi wake kwa taabu na mashaka ili wapate kunyenyekea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and we sent not a prophet to any township but we laid hold of the people thereof with tribulation and distress that haply they may humble themselves.

Swahili

na hatukumtuma nabii yeyote katika mji ila tuliwapatiliza wakaazi wake kwa taabu na mashaka ili wapate kunyenyekea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

thereafter we substituted ease in place of adversity until they abounded and said: even thus tribulation and prosperity touched our fathers.

Swahili

kisha sisi hubadilisha mahala pa ubaya kwa wema, hata wakazidi, na wakasema: taabu na raha ziliwafikia baba zetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

we have sent already unto peoples that were before thee, and we visited them with tribulation and adversity, in order that they might grow humble.

Swahili

na kwa yakini tulipeleka mitume kwa kaumu zilizo kuwa kabla yako, kisha tukazitia katika dhiki na mashaka ili zipate kunyenyekea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

who expend both in joy and tribulation, who suppress their anger and pardon their fellowmen; and god loves those who are upright and do good,

Swahili

ambao hutoa wanapo kuwa na wasaa na wanapo kuwa na dhiki, na wanajizuia ghadhabu, na wasamehevu kwa watu; na mwenyezi mungu huwapenda wafanyao wema;

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

yet hath he not root in himself, but dureth for a while: for when tribulation or persecution ariseth because of the word, by and by he is offended.

Swahili

lakini haumwingii na kuwa na mizizi ndani yake; huendelea kuuzingatia ujumbe huo kwa kitambo tu, na wakati taabu au udhalimu vinapotokea kwa sababu ya ujumbe huo, anakata tamaa mara.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

when we give mankind a taste of our blessing, they rejoice therein: but if they encounter tribulation because of their own actions -- they fall into despair.

Swahili

na watu tunapo waonjesha rehema huifurahia, na ukiwasibu uovu kwa iliyo yatanguliza mikono yao wenyewe, mara wanakata tamaa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

immediately after the tribulation of those days shall the sun be darkened, and the moon shall not give her light, and the stars shall fall from heaven, and the powers of the heavens shall be shaken:

Swahili

"mara baada ya dhiki ya siku hizo, jua litatiwa giza, mwezi hautaangaza, nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za mbingu zitatikiswa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

these things i have spoken unto you, that in me ye might have peace. in the world ye shall have tribulation: but be of good cheer; i have overcome the world.

Swahili

nimewaambieni mambo haya ili mpate kuwa na amani katika kuungana nami. ulimwenguni mtapata masumbuko; lakini jipeni moyo! mimi nimeushinda ulimwengu!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

when we said to you, ‘indeed your lord encircles those people,’ we did not appoint the vision that we showed you except as a tribulation for the people and the tree cursed in the quran.

Swahili

na tulipo kwambia: hakika mola wako mlezi amekwisha wazunguka hao watu. na hatukuifanya ndoto tulio kuonyesha ila ni kuwajaribu watu, na mti ulio laaniwa katika qur'ani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

it is not righteousness that ye turn your faces to the east and the west; but righteous is he who believeth in allah and the last day and the angels and the scripture and the prophets; and giveth wealth, for love of him, to kinsfolk and to orphans and the needy and the wayfarer and to those who ask, and to set slaves free; and observeth proper worship and payeth the poor-due. and those who keep their treaty when they make one, and the patient in tribulation and adversity and time of stress.

Swahili

sio wema kuwa mnaelekeza nyuso zenu upande wa mashariki na magharibi. bali wema ni wa anaye muamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho na malaika na kitabu na manabii, na anawapa mali, kwa kupenda kwake, jamaa na mayatima na masikini na wasafiri, na waombao, na katika ugombozi, na akawa anashika sala, na akatoa zaka, na wanao timiza ahadi yao wanapo ahidi, na wanao vumilia katika shida na dhara na wakati wa vita; hao ndio walio sadikisha, na hao ndio wajilindao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,720,567,729 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK