From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
todo esto permitirá realmente que África desempeñe un papel principal en las colaboraciones científicas globales.
vyote hivi vinaiwezesha afrika kutimiza wajibu wake kikamilifu katika kushirikiana na sehemu nyingine duniani.
algunos incluso usaron wechat para enviar mensajes que posteriormente se transcribieron en papel para enviar a las familias de las víctimas.
wengine walitumia mtandao wa wechat kutuma ujumbe ambao baadae ungeandikwa kwenye kadi za karatasi na kuwatumia wanafamilia wa wahanga.
es muy triste porque las ong desempeñaban un papel muy importante en egipto en lo que respecta al desarrollo y la financiación extranjera desempeñaba un papel en esto.
inasikitisha mno kwa sababu mashirika haya yamekuwa na nafasi muhimu sana nchini misri linakuja suala la maendeleo na misaada ya wafadhili ilichangia sana katika hili.
@milindkhandekar: imágenes de chapra muestran familiares usando hojas de papel para abanicar a los niños en el hospital.
@milindkhandekar: picha kutoka chappra zinawaonesha ndugu wa watoto waliolazwa hospitali wakiwapepea watoto wao kwa makaratasi.
con este comportamiento, la policía impidió que los periodistas informaran del suceso y se adjudicó el papel de censor que decide lo que debe o no debe ver el público macedonio.
kwa tabia hii polisi wamewazuia waandishi kuandika/kutangaza tukio hilo na kujipa jukumu la kufuatilia na kuamua kile ambacho kinaweza kuonwa au kutokuonwa na umma wa wamesedonia.
con los recientes avances tecnológicos, donde los periódicos de papel se están extinguiendo porque la gente los está leyendo en internet, este toque personal es raro de encontrar.
kufuatia maendeleo ya kiteknolojia siku hizi, ambayo yanasababisha magazeti katika muundo unaobebeka kuanza kupotea, na watu kusoma zaidi magazeti kwenye mtandao wa internet, uwepo wa gazeti hili ni tunu ya pekee.
si uno es patriótico o no, lo más importante no es saber dónde nació el niño, si no presenciar su papel como ciudadano en este país, y cuántas buenas obras ha hecho.
ikiwa ni uzalendo au sivyo, jambo la muhimu si kujua wapi mtoto alizaliwa, lakini muhimu ni kutazama wajibu wake kama raia wa nchi hii, na vingapi vizuri amevifanya kwa ajili ya nchi hii.
el-sisi, actual primer viceprimer ministro de egipto, desempeñó un papel fundamental en el derrocamiento del ex presidente mohamed morsi, miembro de los hermanos musulmanes.
el-sisi, ambaye pia ni naibu waziri mkuu wa kwanza wa misri sasa, amehusika kwa kiasi kikubwa katika kumng'oa rais wa zamani mohamed morsi, mwanachama cha wa udugu wa ki-islamu.
al jazeera, por ejemplo, desempeñó un destacado papel en el reportaje de levantamientos populares en varios países árabes, pero los internautas dicen que parece ignorar los eventos que se desarrollan actualmente en sudán.
al jazeera, kwa mfano, ilifanya wajibu wake kwa namna ya pekee katika kuripoti maandamano yaliyotokea katika nchi kadhaa za ki-arabu, lakini watumiaji wa mtandao wanasema shirika hilo linaonekana kupuuza matukio yanayoendelea nchini sudani.
a propósito de la nueva serie cosmos, víctor r. ruíz reflexiona sobre cómo la búsqueda de conocimiento científico se convierte en una cuestión de responsabilidad social, y el papel de los científicos en la esfera pública:
katika mfululizo mpya wa cosmos, víctor r. ruíz anaonyesha jinsi ambavyo kutafuta maarifa ya kisayansi limekuwa ni jukumu la kijamii na kisayansi katika nyanja za umma:
los expertos señalan también «el buen papel de francia en investigación» pero lo juzgan «mediocre en cuanto a la innovación y a las repercusiones económicas».
wataalam vile vile wanasisitiza "ufanisi mzuri wa tafiti nchini ufaransa" lakini wanauona kuwa "wa wastani kwa maana ya ubunifu na faida ya kiuchumi".
blogger jomhour dice el presidente iraní, mahmoud ahmadinejad defendió a su ministro y preguntó, “¿quién necesita estos papeles rotos?”
mwanablogu jomhour anaandika kwamba rais wa irani, mahmoud ahmadinejad alimtetea waziri wake kwa kuuliza, "je, ni nani aliye na haja na makaratasi haya yanayoweza kuchanwa (yasiyo na maana)!”