Results for alitaka translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Chinese

Info

Swahili

alitaka

Chinese

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

barnaba alitaka wamchukue pia yohane aitwaye marko.

Chinese (Simplified)

巴 拿 巴 有 意 、 要 帶 稱 呼 馬 可 的 約 翰 同 去

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pilato alitaka kumwachilia yesu, hivyo akasema nao tena;

Chinese (Simplified)

彼 拉 多 願 意 釋 放 耶 穌 、 就 又 勸 解 他 們

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani.

Chinese (Simplified)

他 們 就 向 他 父 親 打 手 式 、 問 他 要 叫 這 孩 子 甚 麼 名 字

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

paulo mwenyewe alitaka kuukabili huo umati wa watu, lakini wale waumini walimzuia.

Chinese (Simplified)

保 羅 想 要 進 去 、 到 百 姓 那 裡 、 門 徒 卻 不 許 他 去

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

herode alitaka kumwua yohane, lakini aliogopa watu kwa sababu kwao yohane alikuwa nabii.

Chinese (Simplified)

希 律 就 想 要 殺 他 、 只 是 怕 百 姓 . 因 為 他 們 以 約 翰 為 先 知

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"simoni, simoni! sikiliza! shetani alitaka kuwapepeta ninyi kama mtu anavyopepeta ngano.

Chinese (Simplified)

主 又 說 、 西 門 、 西 門 、 撒 但 想 要 得 著 你 們 、 好 篩 你 們 、 像 篩 麥 子 一 樣

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

alitaka pia kudhihirisha wingi wa utukufu wake ambao alitumiminia sisi tulio lengo la huruma yake; sisi ambao alikwisha kututayarisha kuupokea utukufu wake.

Chinese (Simplified)

又 要 將 他 豐 盛 的 榮 耀 、 彰 顯 在 那 蒙 憐 憫 早 豫 備 得 榮 耀 的 器 皿 上

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini kwa vile yule ofisajeshi alitaka kumwokoa paulo, aliwazuia wasifanye hivyo. aliamuru wale waliojua kuogelea waruke kutoka melini na kuogelea hadi pwani,

Chinese (Simplified)

但 百 夫 長 要 救 保 羅 、 不 准 他 們 任 意 而 行 、 就 吩 咐 會 洑 水 的 、 跳 下 水 去 先 上 岸

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya hayo, bwana aliwachagua wengine sabini na wawili, akawatuma wawiliwawili, wamtangulie katika kila kijiji na mahali ambapo yeye mwenyewe alitaka kwenda.

Chinese (Simplified)

這 事 以 後 、 主 又 設 立 七 十 個 人 、 差 遺 他 們 兩 個 兩 個 的 、 在 他 前 面 往 自 己 所 要 到 的 各 城 各 地 方 去

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya miaka miwili, porkio festo alichukua nafasi ya felisi, akawa mkuu wa mkoa. kwa kuwa alitaka kujipendekeza kwa wayahudi, felisi alimwacha paulo kizuizini.

Chinese (Simplified)

過 了 兩 年 、 波 求 非 斯 都 接 了 腓 力 斯 的 任 . 腓 力 斯 要 討 猶 太 人 的 喜 歡 、 就 留 保 羅 在 監 裡

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, akawaona wanafunzi wake wakitaabika kwa kupiga makasia, maana upepo ulikuwa unawapinga. karibu na mapambazuko, yesu aliwaendea akitembea juu ya maji. alitaka kuwapita.

Chinese (Simplified)

看 見 門 徒 、 因 風 不 順 、 搖 櫓 甚 苦 . 夜 裡 約 有 四 更 天 、 就 在 海 面 上 走 、 往 他 們 那 裡 去 、 意 思 要 走 過 他 們 去

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo ndivyo ilivyo kwa mungu. alitaka kuonyesha ghadhabu yake na kujulisha uwezo wake, basi, alikuwa na saburi sana, akiwavumilia wale ambao walikuwa lengo la ghadhabu yake, ambao walistahili kuangamizwa.

Chinese (Simplified)

倘 若   神 要 顯 明 他 的 忿 怒 、 彰 顯 他 的 權 能 、 就 多 多 忍 耐 寬 容 那 可 怒 豫 備 遭 毀 滅 的 器 皿

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ama ukuta, huo ulikuwa ni wa vijana wawili mayatima kule mjini. na chini yake ilikuwako khazina yao; na baba yao alikuwa ni mtu mwema. basi mola wako mlezi alitaka wafikie utu uzima na wajitolee khazina yao wenyewe, kuwa ni rehema itokayo kwa mola wako mlezi. wala mimi sikutenda hayo kwa amri yangu. hiyo ndiyo tafsiri ya hayo ambayo wewe hukuweza kuyasubiria.

Chinese (Simplified)

至于那堵墙,则是城中两个孤儿的;墙下有他俩的财宝。他俩的父亲,原是善良的。你的主要他俩成年后,取出他俩的财宝,这是属于你的主的恩惠,我没有随著我的私意做这件事。这是你所不能忍受的事情的道理。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,748,445,212 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK