Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hili halijawahi kutokea wakati wowote kabla.
this has never happened before.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tetemeko kubwa kuwahi kutokea nchini japani
largest earthquake in recorded history in japan · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jambo kama hilo linaweza kutokea kwa tel quel pia.
and the same could happen to tel quel.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hili halikuwahi kutokea hapo awali," alisema umar.
this has never happened before,” said umar.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
msichana mzuri...almuradi tu anaangaliwa kutokea nyuma.
a beautiful girl... as long as she's being viewed from behind.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mandhari ya nje kutokea uwanja wa kimataifa wa bahrain.
view from bahrain international airport.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
haijawahi kutokea hapo kabla kwamba watu wengi kiasi hicho wametishwa au kutupwa gerezani kwa sababu ya maneno wanayoandika kwenye mtandao.
never before have so many people been threatened or imprisoned for what the words they write on the internet.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hii ndio habari ya usiku wa leo kutokea uwanja wa ndege.
tonight's piece from the airport.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kutokea jordan, khobbeizeh pia anaandika kuhusu ususiaji wa starbucks:
from jordan, khobbeizeh also wrote about boycotting starbucks:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hii ilikuwa kabla nkurunziza hajarudi burundi kutokea tanzania kufuatia mapinduzi.
this was before nkurunziza returned to burundi from tanzania following the coup.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alibanwa pande zote na alikuwa hana pa kutokea zaidi ya kukumbana na hatima yake.
flanked on both sides, he moved in desperation and met his fate.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
2012 julai: boti ikiwa njiani kuelekea zanzibar kutokea dar es salaam yazama.
2012 july: a ferry on its way from dar es salaam to zanzibar sinks.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
anga za mbali ni mahali ambapo kutokea hapo tunaweza kuichunguza na kuiainisha dunia kwa ujumla.
space is the lookout from which to observe and analyze earth as a whole.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, kunaweza kutokea hali ambapo virusi vinasambaa kwingi kwa watu kama ilivyofanyika nchini italia.
however, there may come a point at which the virus spreads more widely into the population, as has happened in italy.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
"huwezi kufahamu ni wakati gani kurushiana risasi kunaweza kutokea kati ya genge moja na jingine.
"you never know when a shootout is going to break out between the gangs.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
habari njema zimeenea kuanzia uchina mpaka karibeani, kutokea fukwe za visiwa mpaka ughaibuni na kila mahala.
the good news spread from china to the caribbean, from island shores to diaspora scattered far and wide.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
malalamiko juu ya vuvuzela yatoka kwa wale, kama huyu rafiki yangu, wanaoangalia mashindano kutokea ng’ambo.
the vuvuzela outcry is mainly coming from those, like my friend, who are watching the tournament abroad.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@amirahoweidy: kuwadhalilisha kijinsia waandamanaji wa kike kulivyoanza kutokea wakati wa chama cha ndp cha mubarak tangu mwaka 2005
@amirahoweidy: sexually harassing female protestors is an established practice invented by mubarak's national democratic party & dates back to 2005
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
blogu ya terremoto chile (tetemeko la ardhi chile) iliundwa haraka na fransisco mara baada yua tetemeko kutokea.
a blog terremoto chile (earthquake chile) was quickly created by francisco soon after the earthquake hit.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
“nimethibitisha kwamba kuna basij waliopo kwenye viwanja na wanawapiga watu kutokea kwenye mapaa ya nyuma. #iranelection”
"i confirm that there's a basij station around the square and they shot ppl from the roof. #iranelection"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.