Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nchini japani, imani kama inavyoeleweka na kuenziwa katika nchi za kimagharibi au kwenye utamaduni wa kiyahudi ni nadra sana.
in japan, spirituality as it is understood and practiced in the west or in the judeo-christian tradition is not common.
maana, wako watu wengi, hasa wale walioongoka kutoka dini ya kiyahudi, ambao ni wakaidi, wanaowapotosha wengine kwa upumbavu wao.
for there are many unruly and vain talkers and deceivers, specially they of the circumcision:
akaomba apatiwe barua za utambulisho kwa masunagogi ya kiyahudi kule damasko, ili akikuta huko wanaume au wanawake wanaofuata njia ya bwana, awakamate na kuwaleta yerusalemu.
and desired of him letters to damascus to the synagogues, that if he found any of this way, whether they were men or women, he might bring them bound unto jerusalem.
kuhani mkuu wa kiyahudi huleta damu ya wanyama katika mahali patakatifu na kuitoa dhabihu kwa ajili ya dhambi; lakini nyama za hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.
for the bodies of those beasts, whose blood is brought into the sanctuary by the high priest for sin, are burned without the camp.
alikuwa mtu mwema; naye pamoja na jamaa yake yote walimcha mungu; alikuwa anafanya mengi kusaidia maskini wa kiyahudi na alikuwa anasali daima.
a devout man, and one that feared god with all his house, which gave much alms to the people, and prayed to god alway.
wayahudi na watu walioongokea dini ya kiyahudi; wengine wametoka krete na arabia. sisi sote tunasikia wakisema kwa lugha zetu wenyewe mambo makuu ya mungu."
cretes and arabians, we do hear them speak in our tongues the wonderful works of god.
programu ya ‘kujenga utamaduni wa amani’ inakusudia kutengeneza sehemu ambamo vijana wa kipalestina na kiyahudi wanaweza kujisikia wako sawa, wanaheshimika na kutambulika kama watu na pia kama ushirika wa kitaifa.
the ‘building a culture of peace’ program seeks to create a space in which both palestinian and jewish youth may feel equal, respected and recognized as individuals and as national collectives.
mashirika mawili tofauti katika israel na majimbo ya palestina yanatumia zana za video ili kuwasaidia wote, vijana wa kiyahudi na wakiarabu kuuelewa mgogoro na kutengeneza daraja kati yao, kwa kutengeneza nafasi ya kukutana na kuwasiliana ambamo wanaweza wakaeleza ndoto zao, yanayowagusa na mawazo yao kuhusu hali tata wanayoishi.
two different organizations in israel and the occupied palestinian territories are using video tools to help both arabic and jewish youth to understand the conflict and bridge gaps between them, creating spaces for interaction and communication where they can share their dreams, concerns and thoughts regarding the complex situation they live in.
huku vijana wengi wa kipalestina na kiyahudi wakiwa wametengwa kimwili mmoja kutoka mwingine (kwenye jamii na shule tofauti) na hofu, ubaguzi wa rangi na mawazo potofu matokeo yake, tunatarajia kujenga namna mbadala za maingiliano kati ya makundi haya mawili.
with the majority of palestinian and jewish youth physically segregated from one another (in separate communities and schools) and fears, racism and prejudice the result, we look to build alternative models for interaction between the two groups.