Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
pengine inaweza kueleweka kwa nini jazba zinaweza kupanda sana.
perhaps understandably so as tempers are bound to run high.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
anafanya mkanganyiko huu wa ajabu unaotokea mbele ya macho yetu uanze kueleweka.
he is giving sense to this madness going on under our eyes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
inaweza kueleweka kwa nini, ukurasa wa mtandao wa facebook unamwuunganisha sima haupatikani tena.
understandably, the facebook page sima links to is no longer available.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wenyeji wanaweza kueleweka jinsi walivyokerwa kwani majeshi ya kulinda amani hawajafanya ipasavyo ili kusitisha mavamizi ya waasi.
local's are understandably upset that the peacekeeping force had not done enough to stall the rebel advance.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini katika mikutano ya waumini napendelea zaidi kusema maneno matano yenye kueleweka ili niwafundishe wengine, kuliko kusema maneno elfu ya lugha ngeni.
yet in the church i had rather speak five words with my understanding, that by my voice i might teach others also, than ten thousand words in an unknown tongue.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
au dunia ni ngumu kueleweka zaidi kuliko “watu wema” au “wabaya” wanavyoweza kueleweka?
or is the world really more complex than 'good guys' and 'bad guys'?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ingawa, kama ilivyotajwa awali, makadinali wa kanisa katoliki wamekuwa wakinufaika na takwa hilo la kikatiba, taasisi nyingine za kidini zinazotambuliwa na serikali ya brazil hazijatengwa katika kuomba pasipoti za kidiplomasia na hata wakuu wengine wa madhehebu ya kiprotestanti, kama mchungaji ambaye ni vigumu kueleweka kirahisi edir macêdo, kiongozi wa kanisa la ulimwengu (igreja universal) walipokea pasipoti za kidiplomasia siku za nyuma.
although, as mentioned above, catholic church cardinals have benefited from this concession, other religious institutions recognized by the brazilian state are not excluded from the application for diplomatic passports and indeed other evangelical representatives, such as controversial pastor edir macêdo, leader of brazil's igreja universal (universal church) have received diplomatic passports in the past.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: