Results for kukausha translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kukausha

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kukausha nywele

English

to plait hair

Last Update: 2020-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mabadiliko yafuatayo katika idadi ya bakteria baada ya kukausha mikono yalishuhudiwa:

English

the following changes in the bacterial count after drying the hands were observed:

Last Update: 2023-12-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa sababu vijidudu vinaweza kusalia kwenye maji yaliyo mkononi, ni muhimu kusuuza vyema na kukausha mikono kwa taulo safi.

English

since germs may remain in the water on the hands, it is important to rinse well and wipe dry with a clean towel.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kunao watengenezaji wengi wa bidhaa za kupangusa mikono maji, na bidhaa hizi za kukausha mikono zimelinganishwa dhidi ya kutumia tishu.

English

many different hand dryer manufacturers exist, and hand driers have been compared against drying with paper towels.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

athari ya alkoholi ya kukausha ngozi inaweza kupunguzwa au kuondolewa kwa kuongeza gliserini na/au viungo vingine vya emolineti kwenye fomula hiyo.

English

the drying effect of alcohol can be reduced or eliminated by adding glycerin and/or other emollients to the formula.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tishu hazikuonyesha maenezi ya mno ya viini.mwaka wa 2005, utafiti uliofanywa na tÜv produkt und umwelt, mbinu tofauti za kukausha mikono zilitathminiwa.

English

paper towels showed no significant spread of micro-organisms.in 2005, in a study conducted by tÜv produkt und umwelt, different hand drying methods were evaluated.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kukausha mikono yako uliyonawa kihalisi huondoa baadhi ya vijidudu kutoka kwenye ngozi yako (kwa hivyo usiruke hatua hiyo, na usishiriki taulo).

English

drying your washed hands physically removes some germs from your skin (so don't skip that step, and don't share towels).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kukausha mikono kwa kikaushi cha jet-air kulisababisha kuongezeka kwa wastani kwa idadi ya jumla ya bakteria kwenye vidole kwa 42% na kwenye viganja kwa 15%.

English

drying with the jet-air dryer resulted in an increase on average of the total number of bacteria on the finger pads by 42% and on the palms by 15%.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya kuosha na kukausha mikono kwa kutumia kikausha mikono kwa hewa vuguvugu, idadi ya jumla ya bakteria ilipatikana kuongezeka kwa wastani kwenye vidole kwa 194% kiganjani kwa 254%.

English

after washing and drying hands with the warm-air dryer, the total number of bacteria was found to increase on average on the finger pads by 194% and on the palms by 254%.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya kuosha na kukausha mikono kwa tishu, idadi ya jumla ya bakteria ilipungua kwa wastani kwenye vidole kwa hadi 76%na kiganjani kwa hadi 77%.wanasayansi hao pia walifanya majaribio ili kubaini iwapo kulikuwa na uwezekano wa uchafuzi wa watumiaji wa bafu zingine na mazingira ya bafu kutokana na kila aina ya mbinu ya kukausha mikono.

English

after washing and drying hands with a paper towel, the total number of bacteria was reduced on average on the finger pads by up to 76% and on the palms by up to 77%.the scientists also carried out tests to establish whether there was the potential for cross contamination of other washroom users and the washroom environment as a result of each type of drying method.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,738,083,831 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK