Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nyara za serikali
government trophies
Last Update: 2022-04-22
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
assistant auditor general
Last Update: 2023-04-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ruzuku za serikali zimefanya vituo hivyo kuwa na gharama nafuu.
government subsidies have made the plants affordable.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
takwimu za serikali zilitaja kuwa idadi ya waliopotezha maisha imefikia 6300.
government statistics placed the number of dead at about 6,300.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wengine walikosoa kukosekana kwa uwazi kwa yale yanayofanywa na wizara za serikali.
others criticized the lack of transparency on procedures of government ministries.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alisambaza jumbe zilizokuwa zikitoa vitisho kwa mamlaka za serikali pamoja na wanafamilia.
he circulated messages containing threats against the authorities and their families.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
naendelea vizuri naenda nyumbani mda si mrefu niko kwenye office za serikali hapa usa river
Last Update: 2023-10-11
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
amejitetea kwa kutengeneza mfumo wa kuwanufaisha wafanyakazi pamoja na juhudi za serikali kuzalisha ajira.
he has bragged about non-wage benefits and his government’s efforts at creating jobs.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa kudai uwazi, watu wanachotaka ni kuthibitisha kuwepo kwa maadili katika shughuli za serikali.
by demanding transparency, what people want is to confirm the presence of ethics in government acts.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa kweli ni sahihi kusema chama cha muslim brotherhood kinafuata nyayo za serikali ya mubarak na scaf.
of course it is worth to mention that the muslim brotherhood is walking on the same path like mubarak regime and scaf.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
madudu ya idara za serikali na makosa mengi na kushindwa kwa serikali havionekani kwenye taarifa za habari.
the concerned government authorities' gaffes and numerous mistakes and other failures have disappeared from media reports.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
barabara zinazoelekea jijini zilikuwa zimefungwa na mamlaka za serikali, na treni za jiji la kyiv zilisimamisha huduma zake.
roads to the city were blocked by authorities, and the metro in kyiv were stopped.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwanablogu @chanadbh alitwiti kiungo cha video na kuambatanisha maoni yanayokinzana moja kwa moja na kauli za serikali:
blogger @chanadbh tweeted the link to a video and added a sarcastic comment:
Last Update: 2023-10-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
anafungua utangulizi wa mkusanyiko wa picha hizo za mtandaoni kwa maelezo mafupi ya siku 14 za mwisho za serikali ya rais hugo chávez:
he opens the introduction to his online gallery with a brief overview of the last 14 years under the government of president hugo chávez:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
dhana ya uraia unaweza kuwa na maana zaidi ya kuwa na uhuru wa kufikiri na kuunda mawazo ambayo yanatofautiana na propaganda za serikali ya china.
a sense of citizenship may mean more than thinking independently and forming opinions that differ from the propaganda of the chinese government.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nimekuandikia waraka huu kukuomba kwamba uwe unatutmia nyaraka za malipo mapema ili tuwe tunapitia malalamiko ya mishahara kwa wakati na kuyawasilisha sehemu husika kwa ajiri ya utekelezeji
i have written this letter to you asking you to send us payment documents in advance so that we can review the salary complaints on time and submit them to the relevant section for implementation.
Last Update: 2021-10-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kufuatia tabia yake ya kukosoa sera rasmi za serikali, pu amejikuta mara kadhaa akifuatiliwa sana na vyombo vya usalama, na amekamatwa na kuhojiwa mara nyingi.
due to his outspoken criticisms of official policies, pu is monitored by security forces, and has been detained and questioned on several occasions.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kasri hili ni eneo muhimu kwa ajili ya watalii, pamoja na kuwa maeneo mengine yanatumiwa na taasisi za serikali ikiwa ni pamoja na makazi ya waziri mkuu wa uturuki.
the palace features exhibitions for tourists, though other areas house government agencies, including the seat of the turkish prime minister.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mujibu wa bunge la ulaya, kukamatwa kwake ni sehemu ya jitihada za serikali ya syria kujaribu kuzuia upatikanaji wa mtandao kwa jamii ya mtandaoni na hata kuminya uhuru wa kujieleza nchini humo.
according to the european parliament, his detention is part of syrian government efforts to restrict access to online communities and stifle freedom of expression in the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika mkesha wa mapinduzi mwaka 2011 wanachama wa kikundi hicho cha “wasiojitambulisha” waliotawanyika duniani kote walishambulia tovuti kadhaa za serikali katika kile kilichoitwa operation tunisia.
on the eve of the revolution in 2011 anonymous members worldwide targeted several governmental websites in what was known as operation tunisia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: