From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
akiwa amezaliwa mwaka 1981 kwenye jimbo la pwani la mombasa, nyota ndogo ametokea kwenye historia ya kinyenyekevu.
born in 1981 in the kenyan coastal province of mombasa, nyota ndogo has come from a very humble background.
watu wasiopungua 33 inaelezwa kuwa wamepoteza maisha na idadi kubwa ya watu wameachwa bila makazi katika maeneo mbalimbali ya pwani ya mashariki.
at least 33 people have been reported dead and scores displaced across the east coast.
seneta mteule, mbura anasemekana kuwaomba wanawake katika mkoa wa pwani kutembea nusu uchi ili kuwavutia watalii zaidi kuzuru eneo hilo.
nominated senator, mbura allegedly asked women in the coastal region to go topless so that more tourists can visit the region.
ulipojaa, watu waliuvuta pwani, wakaketi, wakachagua samaki wazuri wakawaweka ndani ya vikapu vyao, na wabaya wakawatupa.
when it was full, they drew to shore, and sat down, and gathered the good fish into vessels, but cast the bad away.
baada ya kusababisha uharibifu mkubwa pembezoni mwa pwani ya atlantiki nchini marekani, kimbunga kikubwa sandy kinachukuliwa kama kimbunga kilichosababisha madhara makubwa ambayo hayakuwahi kutokea.
after causing wide spread damage along the atlantic coast in united states, super storm sandy is being labelled as the costliest storm ever.
huu ni mji wa pwani na bandari jimboni patagonia wenye miamba, ndege wakubwa na utajiri wa viumbe na mfululizo wa safari za pwani unaokufikisha kwenye eneo linalofahamika vizuri zaidi la ria.
this is a coastal and port city in the patagonia with cliffs, a large amount of biodiversity with birds and mammals and a series of coastal tours that takes us to the very well known ria.
katika safari hiyo, wakati wa matembezi katika pwani ya bahari ambayo jina lake nimelisahau, vidole vyangu vilihisi maji ya bahari ya atlantic, hali inayonikumbusha pia venezuela.
on that trip, during a visit to a beach whose name i have forgotten, my toes first felt the waters of the atlantic, i owe that to venezuela too.
jiji la varna lililo pwani ya bulgaria lilitangazwa kuwa ndilo jiji la maandamano: zaidi ya watu 40,000 walijitokeza katika jiji hilo siku ya jumapili kwa ajili ya maandamano hayo ya jumapili.
the coastal city of varna was declared the protest capital: over 40,000 people turned up for the sunday's rally there.
kama vile alivyoelezea julie owono , ni vigumu kupembua mapambano ya kudhibiti vyombo vya habari vya pwani ya pembe (cote d'ivoire).
as julie owono explained, the battle over the control of ivorian media is difficult to sort out.
wale wanamaji waliuvuta mtumbwi ndani, kisha wakaizungushia meli kamba na kuifunga kwa nguvu. waliogopa kwamba wangeweza kukwama kwenye ufuko wa bahari, pwani ya libya. kwa hiyo walishusha matanga na kuiacha meli ikokotwe na upepo.
which when they had taken up, they used helps, undergirding the ship; and, fearing lest they should fall into the quicksands, strake sail, and so were driven.
basi, atatoka nje, ataanza kuyapotosha mataifa yote yaliyotawanyika kila mahali duniani, yaani gogu na magogu. shetani atawakusanya pamoja kwa ajili ya vita; nao watakuwa wengi kama mchanga wa pwani.
and shall go out to deceive the nations which are in the four quarters of the earth, gog and magog, to gather them together to battle: the number of whom is as the sand of the sea.