Results for sikuona translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

sikuona

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

sikuona hekalu katika mji huo, maana bwana mungu mwenye uwezo na yule mwanakondoo ndio hekalu lake.

English

and i saw no temple therein: for the lord god almighty and the lamb are the temple of it.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

niligundua kwamba mashtaka yenyewe yalihusu ubishi juu ya sehemu kadha wa kadha za sheria yao na hivyo sikuona kwamba amefanya chochote kinachostahili auawe au afungwe gerezani.

English

whom i perceived to be accused of questions of their law, but to have nothing laid to his charge worthy of death or of bonds.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini mimi sikuona kuwa alikuwa ametenda chochote kibaya hata astahili kupewa adhabu ya kifo. lakini, kwa vile paulo mwenyewe alikata rufani kwa kaisari, niliamua kumpeleka.

English

but when i found that he had committed nothing worthy of death, and that he himself hath appealed to augustus, i have determined to send him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pilato akatoka tena nje, akawaambia, "tazameni, namleta nje kwenu, mpate kujua kwamba mimi sikuona hatia yoyote kwake."

English

pilate therefore went forth again, and saith unto them, behold, i bring him forth to you, that ye may know that i find no fault in him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kunididimiza ananisingizia mengi kwa mtoto wa boss inaniumiza mwezi uliopita walinilazimisha kuingia masaa zaidi ya yale niliyokua nafanya kazi sikuona shida kwani nna familia inanitegemea lakin mwezi huu nimegombezwa kisa kuonekana na simu kazini sijawahi kuona popote meneja anazuiwa kua na simu kazini, nikiumwa nagombezwa kwanini nishindwe kubaki kazini simlaumu yeyote kwa hili kwasababu ni kazi ya watu lakini nifanyeje mimi? naomba unishauri

English

i'm going to school

Last Update: 2023-08-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makuhani wakuu na walinzi walipomwona wakapaaza sauti: "msulubishe! msulubishe!" pilato akawaambia, "mchukueni basi, ninyi wenyewe mkamsulubishe, kwa maana mimi sikuona hatia yoyote kwake."

English

when the chief priests therefore and officers saw him, they cried out, saying, crucify him, crucify him. pilate saith unto them, take ye him, and crucify him: for i find no fault in him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,745,517,866 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK