Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kisha tukaleta baada yao vizazi vingine.
after them we brought another generation into existence.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ato siwezi kufanya vingine zaidi ya kuafikiana na wewe.
ato i couldn't help but absolutely agree with you.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kusitishwa kwa shughuli za kawaida na vikwazo vingine vya ndani.
lockdowns and other internal restrictions
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
na utumie tishu kugusa skrini ya mguso au vidhibiti vingine.
and use a tissue to touch the touch screen or other controls.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
hakuwa na haja ya kuogopa kwa sababu vikaragosi vingine vilimpokea kwa bashasha”
she didn't have to worry because the other muppets enthusiastically welcomed her."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
je, virusi hivi pia vinaunganisha seli zinazoonyesha ace2- katika viungo vingine?
does the virus also bind ace2-expressing cells in other organs?
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
baadhi ya viua vijasumu vinaweza kutumuka vingine kama matibabu ya covid-19:
some antibiotics may be repurposed as covid-19 treatments:
Last Update: 2024-04-13
Usage Frequency: 1
Quality:
na ukweli ni kwamba, linapokuja suala la tetesi, hakuna kinachothibitishwa na vyanzo vingine.
except for the rumors, nothing is confirmed by other sources.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hivyo ni tofauti kabisa kutoka kwenye kunukuu blogu kama ilivyo katika vyombo vingine vya habari.
that is very different from just covering blogs by other media outlets.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini vilevile serikali haiwezi ikatoa kila kitu kuna vifaa vingine ambavyo tunawahitaji wazazi au walezi wachangie.
but governments can not also offers everything there is other equipment that we need to share their parents or guardians.
Last Update: 2015-03-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hivi inaelekea zaidi ya kwamba watatoa ushahidi ulio sawa au wataogopa visije vikaletwa viapo vingine baada ya viapo vyao.
it is thus likely that men will bear witness rightly, or else fear that their oaths may be disproved by oaths given after them.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuna ripoti ya maandamano katika vyuo vikuu vingine katika mikoa na wale ambao waliamua kujiunga na maandamano wamekosolewa kwa ukali.
there are reports of protests in other universities in provinces and those that have decided not to join the protests are harshly criticized.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baadaye, remdesivir pia ilionyesha kuzuia uwezekano wa kutokea virusi vingine vya rna vya namna moja ikiwa ni pamoja na virusi vya mers na sars.
later, remdesivir also demonstrated possible inhibition of other single stranded rna viruses including mers and sars viruses.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alama za udahili zinakokotolewa kwa kila mwanafunzi wa shule ya sekondari kwa kuzingatia ngazi ya mwanafunzi ya ufaulu, mitihani ya mwisho pamoja na vigezo vingine.
admission points are calculated for each high school student on the basis of their grades, final exams and other obtained qualifications.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hatimaye, sawa na virusi vingine vya hcov, virusi vya sars-cov-2 vinaweza kugunduliwa kwenye sampuli ya kinyesi.
finally, same as the other hcovs, sars-cov-2 can be detected in fecal samples.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"wanaweza kuhukumiwa kwa kutumia ushahidi wa "kukiri" unaopatikana kwa kuwatesa au vitendo vingine vya kinyama."
"they may be convicted solely on the basis of 'confessions' obtained under torture or other ill-treatment."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
@saudiwoman: bilioni 16 kwenda wizara ya afya ili kujenga kituo cha saratani na vitengo vingine muhimu, zahanati na nyumba kwa ajili ya hospitali zote kubwa
@saudiwoman: 16billion to health ministry to build cancer units and other specialized units, clinics and housing for major hospitals
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
antibodi ni immunoglobulin (ig) zinazozalishwa na b lymphocytes kupambana na viini na vitu vingine vya kigeni na zinatambua molekyuli maalum kwenye viini na kupambana nazo moja kwa moja.
antibodies are an immunoglobulin (ig) produced by b lymphocytes to fight pathogens and other foreign objects and they recognize unique molecules in the pathogens and neutralize them directly.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ndani ya wiki 2 za kwanza za kuweka mipangilio ya uchunguzi huu, tumetambua visa 3: 1 kupitia mfumo mpya wa kuweka msimbo, vingine 2 kupitia kuendelea kuchukuliwa kwa sampuli ya viarolojia.
within the first 2 weeks of setup of this surveillance, we have identified 3 cases: 1 through the new coding system, the other 2 through the extended virology sampling.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika nyumba kubwa kuna mabakuli na vyombo vya kila namna: vingine ni vya fedha na dhahabu, vingine vya mbao na udongo, vingine ni vya matumizi ya pekee na vingine kwa ajili ya matumizi ya kawaida.
but in a great house there are not only vessels of gold and of silver, but also of wood and of earth; and some to honour, and some to dishonour.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: