Results for waliopagawa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

waliopagawa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

jioni, jua lilipokwisha tua, wakamletea yesu wagonjwa wote na watu waliopagawa na pepo.

English

and at even, when the sun did set, they brought unto him all that were diseased, and them that were possessed with devils.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati huohuo, yesu alikuwa anawaponya watu wengi waliokuwa wanateseka kwa magonjwa na waliopagawa na pepo wabaya, akawawezesha vipofu wengi kuona tena.

English

and in that same hour he cured many of their infirmities and plagues, and of evil spirits; and unto many that were blind he gave sight.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alifika katika nchi ya wagerasi, ng'ambo ya ziwa, na huko watu wawili waliopagawa na pepo wakakutana naye wakitokea makaburini. watu hawa walikuwa wenye kutisha mno, hata hakuna mtu aliyethubutu kupita katika njia hiyo.

English

and when he was come to the other side into the country of the gergesenes, there met him two possessed with devils, coming out of the tombs, exceeding fierce, so that no man might pass by that way.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

habari zake zikaenea katika mkoa wote wa siria. wagonjwa wote wenye maradhi ya kila namna na wale waliosumbuliwa na kila namna ya taabu: waliopagawa na pepo, wenye kifafa na watu waliokuwa wamelemaa, walipelekwa kwake; naye akawaponya wote.

English

and his fame went throughout all syria: and they brought unto him all sick people that were taken with divers diseases and torments, and those which were possessed with devils, and those which were lunatick, and those that had the palsy; and he healed them.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,726,316,652 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK