Results for mwamba translation from Swahili to German

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

German

Info

Swahili

mwamba

German

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

mvua ikanyesha, mito ikafurika, pepo kali zikavuma na kuipiga nyumba hiyo. lakini haikuanguka kwa sababu ilikuwa imejengwa juu ya mwamba.

German

da nun ein platzregen fiel und ein gewässer kam und wehten die winde und stießen an das haus, fiel es doch nicht; denn es war auf einen felsen gegründet.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakanywa pia kinywaji kilekile cha kiroho, maana walikunywa kutoka ule mwamba wa kiroho uliowafuata; mwamba huo ulikuwa kristo mwenyewe.

German

und haben alle einerlei geistlichen trank getrunken; sie tranken aber vom geistlichen fels, der mitfolgte, welcher war christus.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"kwa sababu hiyo, kila mtu anayeyasikia maneno yangu na kuyazingatia, anafanana na mtu mwenye busara, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba.

German

darum, wer diese meine rede hört und tut sie, den vergleiche ich einem klugen mann, der sein haus auf einen felsen baute.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha, akaushusha mwili huo kutoka msalabani, akauzungushia sanda ya kitani, akauweka katika kaburi lililokuwa limechongwa kwenye mwamba, ambalo halikuwa limetumika.

German

und nahm ihn ab, wickelte ihn in leinwand und legte ihn in ein gehauenes grab, darin niemand je gelegen hatte.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama yesemavyo maandiko matakatifu: "tazama! naweka huko sioni jiwe likwazalo, mwamba utakaowafanya watu waanguke. mtu atakayemwamini yeye aliye hilo jiwe, hataaibishwa!"

German

wie geschrieben steht: "siehe da, ich lege in zion einen stein des anlaufens und einen fels des Ärgernisses; und wer an ihn glaubt, der soll nicht zu schanden werden."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,728,680,401 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK