Results for mezani translation from Swahili to Latin

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Latin

Info

Swahili

mezani

Latin

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

"lakini, tazameni! yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani.

Latin

verumtamen ecce manus tradentis me mecum est in mens

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kulipokuwa jioni, yesu akakaa mezani pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.

Latin

vespere autem facto discumbebat cum duodecim discipuli

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo.

Latin

hoc autem nemo scivit discumbentium ad quid dixerit e

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, yesu aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.

Latin

surgit a cena et ponit vestimenta sua et cum accepisset linteum praecinxit s

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na hapo wale waliokuwa pamoja naye mezani wakaulizana, "ni mtu wa namna gani huyu awezaye kusamehe dhambi?"

Latin

et coeperunt qui simul accumbebant dicere intra se quis est hic qui etiam peccata dimitti

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mtakula na kunywa mezani pangu katika ufalme wangu, na mtaketi katika viti vya enzi kuyahukumu makabila kumi na mawili ya israeli.

Latin

ut edatis et bibatis super mensam meam in regno et sedeatis super thronos iudicantes duodecim tribus israhe

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mama mmoja aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye marashi ya thamani kubwa, alimjia pale mezani alipokuwa amekaa kula chakula, akammiminia hayo marashi kichwani.

Latin

accessit ad eum mulier habens alabastrum unguenti pretiosi et effudit super caput ipsius recumbenti

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, yesu na wanafunzi wake walikuwa mezani kwa chakula cha jioni. ibilisi alikwisha mtia yuda, mwana wa simoni iskarioti, nia ya kumsaliti yesu.

Latin

et cena facta cum diabolus iam misisset in corde ut traderet eum iudas simonis scarioti

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwishowe, yesu aliwatokea wanafunzi kumi na mmoja walipokuwa pamoja mezani. akawakemea sana kwa sababu ya kutoamini kwao na ukaidi wao, maana hawakuwaamini wale waliokuwa wamemwona baada ya kufufuka.

Latin

novissime recumbentibus illis undecim apparuit et exprobravit incredulitatem illorum et duritiam cordis quia his qui viderant eum resurrexisse non credideran

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadaye, yesu alikuwa amekaa mezani, nyumbani kwa lawi, kula chakula. watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuwa wamemfuata yesu na wengi wao wakawa wamekaa mezani pamoja naye na wanafunzi wake.

Latin

et factum est cum accumberet in domo illius multi publicani et peccatores simul discumbebant cum iesu et discipulis eius erant enim multi qui et sequebantur eu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alikuwa bethania, nyumbani kwa simoni, mkoma. alipokuwa mezani kula chakula, mama mmoja aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye marashi ya nardo safi ya thamani kubwa alikuja, akaivunja hiyo chupa, akammiminia yesu marashi hayo kichwani.

Latin

et cum esset bethaniae in domo simonis leprosi et recumberet venit mulier habens alabastrum unguenti nardi spicati pretiosi et fracto alabastro effudit super caput eiu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,749,266,331 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK