Google fragen

Sie suchten nach: bride (Englisch - Swahili)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Englisch

Swahili

Info

Englisch

the bride

Swahili

mhazini

Letzte Aktualisierung: 2019-11-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

send your bride

Swahili

bibi yako

Letzte Aktualisierung: 2020-02-01
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

bridegroom and bride aides

Swahili

wapambe

Letzte Aktualisierung: 2019-01-21
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

Bride flirt a little more,

Swahili

Bibi harusi huchepuka kidogo,

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

Image of a Turkmen bride.

Swahili

Picha ya bibi harusi wa Kituruki.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

The groom comes to take the bride from her house.

Swahili

Bwana harusi huja kumchukua bibi harusi kutoka nyumbani kwao.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

Malaysia's 14-Year Old Bride · Global Voices

Swahili

Bi Harusi wa Miaka 14 Huko Malaysia

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

The murdered young bride, Ngoc was the one on the market.

Swahili

Mwanamwali mdogo aliyeuawa, Ngoc alikuwa kati ya waliokuwa kwenye soko.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

This is the most touching part of the wedding as the bride's relatives come to say goodbye to her.

Swahili

Hii ni sehemu ya harusi yenye mguso kwa sababu ndugu wa bibi harusi huja kumuaga.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

South Korea: A National Mourning on A Vietnamese Bride's Death · Global Voices

Swahili

Korea Kusini: Maombolezo ya Kitaifa ya Mwanamwali wa Kivietnam

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

South Korean bloggers grieve for a Vietnam bride who was killed by her Korean husband a week after she landed Korea.

Swahili

Wanablogu wa Korea kusini wanaomboleza kifo cha mwanamwali wa Kivietnamu aliyeuawa na mume wake Mkorea mara tu baada ya kutua nchini Korea.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

WHEN a lovely bride appears before her handsome bridegroom on their wedding day, words can hardly describe their joy.

Swahili

Bibi-arusiI mrembo anaposimama kando ya bwana-arusi mtanashati siku yao ya arusi, wao huwa na furaha isiyo na kifani.

Letzte Aktualisierung: 2016-10-08
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

And I John saw the holy city, new Jerusalem, coming down from God out of heaven, prepared as a bride adorned for her husband.

Swahili

Nikaona mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka kwa Mungu mbinguni. Ulikuwa umetayarishwa vizuri kama bibi arusi aliyepambwa tayari kukutana na mumewe.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

A wedding dress should show the bride off because later she will wear a headscarf and close her mouth in front of husband's parents.

Swahili

Vazi la harusi lazima limwonyeshe bibi harusi kwa sababu baadae atavalishwa mtandop na kuufunga mdomo wake mbele ya wakwe zake.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

While bleeding on the wedding night is still the proof of the bride's honor in Egypt and Middle Eastern countries, Radio Netherlands broadcast an Arabic translation of the Chinese advertisement of the Artificial Virginity Hymen kit.

Swahili

Wakati kuvuja damu kwenye usiku wa harusi bado ni ushahidi wa heshima ya bibi harusi nchini Misri na nchi za Mashariki ya Mbali, Radio Uholanzi imetangaza tafsiri ya Kiarabu ya tangazo la Kichina la Kifaa cha Ngozi nyembamba ya kutengenezwa yenye kurudisha ubikra wa mwanamke.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

And the Spirit and the bride say, Come. And let him that heareth say, Come. And let him that is athirst come. And whosoever will, let him take the water of life freely.

Swahili

Roho na Bibiarusi waseme, "Njoo!" Kila mtu asikiaye hili, na aseme, "Njoo!" Kisha, yeyote aliye na kiu na aje; anayetaka maji ya uzima na apokee bila malipo yoyote.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Englisch

A screen shot image of a portal site after entering a search word: Vietnam brides.

Swahili

Picha ya skrini ya tovuti inavyoonekana baada ya kuingiza neno: wachumba wa Kivietnam.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

Korean bloggers, while expressing their grievances to the murdered bride, urged the government and the police to clamp down the unwarranted marriage agencies who often lead marriages into tragedies by hiding the husband's mental history, characters and status.

Swahili

Wanablogu wa Korea, wakieleza machungu yao juu ya kifo hicho, waliitaka serikali ya nchi hiyo na polisi kutokuruhusu ndoa za holela kupitia mawakala ambao mara nyingi husababisha ndoa kuwa balaa kwa kuficha hali ya kiakili ya mume mtarajiwa, tabia na wasifu wake.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

When you enter a search word 'Vietnam brides' in the Naver.com, Korea's most widely used portal site, almost nine out of ten are the marriage broker sites, alluring young Korean guys that they can get a Vietnam or other foreign bride in a reasonable price.

Swahili

Unapotafuta neno “wachumba wa Kivietnam” katika katika touvuti ya Naver.com, tovuti ambayo hutumiwa zaidi nchini Korea, karibu ya tisa katika kumi ni tovuti za kukutanisha wachumba, ambazo huwavutia vijana wa Kikorea kwamba wataweza kuijipatia wachumba wa Kivietnam au wa mataifa ya kigeni kwa bei nafuu.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Englisch

And the light of a candle shall shine no more at all in thee; and the voice of the bridegroom and of the bride shall be heard no more at all in thee: for thy merchants were the great men of the earth; for by thy sorceries were all nations deceived.

Swahili

Mwanga wa taa hautaonekana tena ndani yako; sauti za bwana arusi na bibi arusi hazitasikika tena ndani yako. Wafanyabiashara wako walikuwa wakuu duniani, na kwa uchawi wako mataifa yote yalipotoshwa!"

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
4,401,923,520 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK