Sie suchten nach: rome (Englisch - Swahili)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Englisch

Swahili

Info

Englisch

but, when he was in rome, he sought me out very diligently, and found me.

Swahili

ila mara tu alipofika roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

so, as much as in me is, i am ready to preach the gospel to you that are at rome also.

Swahili

ndiyo maana ninatamani pia kuihubiri habari njema kwenu ninyi mlioko huko roma.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

where we found brethren, and were desired to tarry with them seven days: and so we went toward rome.

Swahili

huko tuliwakuta ndugu kadhaa ambao walituomba tukae nao kwa juma moja. hivi ndivyo tulivyopata kufika roma.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

and when we came to rome, the centurion delivered the prisoners to the captain of the guard: but paul was suffered to dwell by himself with a soldier that kept him.

Swahili

tulipofika roma, paulo aliruhusiwa kukaa peke yake pamoja na askari mmoja wa kumlinda.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

phrygia, and pamphylia, in egypt, and in the parts of libya about cyrene, and strangers of rome, jews and proselytes,

Swahili

frugia na pamfulia, misri na sehemu za libya karibu na kurene; wengine wetu ni wageni kutoka roma,

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

the film industry has also experienced disruption.the vatican announced that holy week observances in rome, which occur during the last week of the christian penitential season of lent, have been cancelled.

Swahili

sekta ya filamu pia imepata mvurugo. vatican ilitangaza kuwa maadhimisho ya wiki kuu roma, ambayo huwa katika wiki ya mwisho wa msimu ya wakristo kutubu wa kwaresima, zimefutwa.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

the outbreak was confirmed to have spread to italy on 31 january, when two chinese tourists tested positive for sars-cov-2 in rome.

Swahili

mkurupuko ilithibitishwa kuenea hadi italia mnamo 31 januari, wakati watalii wachina wawili walipimwa na kupatikana na sars-cov-2 roma.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

with the roman catholic diocese of rome closing its churches and chapels and st. peter's square emptied of christian pilgrims, other religious bodies also cancelled services and limited public gatherings in churches, mosques, synagogues, temples and gurdwaras.

Swahili

kufuatia dayosisi ya katoliki ya roma kufunga makanisa yao na makanisa madogo na basilika la mt. petro kutokuwa na mapilgrimu wakristo, mashirika mengine za kidini pia zilifuta ibada yao na kudhibiti mkusanyiko katika makanisa, misikiti, sinagogi, hekalu na gurdwaras.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

after these things were ended, paul purposed in the spirit, when he had passed through macedonia and achaia, to go to jerusalem, saying, after i have been there, i must also see rome.

Swahili

baada ya mambo hayo, paulo aliamua kwenda yerusalemu kwa kupitia makedonia na akaya. alisema, "baada ya kufika huko, itanilazimu kuona roma pia."

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Englisch

and found a certain jew named aquila, born in pontus, lately come from italy, with his wife priscilla; (because that claudius had commanded all jews to depart from rome:) and came unto them.

Swahili

huko korintho, alimkuta myahudi mmoja aitwaye akula, mzaliwa wa ponto. akula pamoja na mkewe aitwaye priskila, walikuwa wamerudi kutoka italia siku hizohizo kwa sababu kaisari klaudio alikuwa ameamuru wayahudi wote waondoke roma. paulo alikwenda kuwaona,

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

and the night following the lord stood by him, and said, be of good cheer, paul: for as thou hast testified of me in jerusalem, so must thou bear witness also at rome.

Swahili

usiku uliofuata, bwana alisimama karibu na paulo, akamwambia, "jipe moyo! umenishuhudia katika yerusalemu, utafanya vivyo hivyo mjini roma."

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Englisch

to all that be in rome, beloved of god, called to be saints: grace to you and peace from god our father, and the lord jesus christ.

Swahili

basi, ninawaandikia ninyi nyote mlioko roma ambao mungu anawapenda, akawateua muwe watu wake. nawatakieni neema na amani kutoka kwa mungu baba yetu na bwana yesu kristo.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
4,401,923,520 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK