Sie suchten nach: bienvenu au kenya (Französisch - Swahili)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Französisch

Swahili

Info

Französisch

bienvenu au kenya

Swahili

namnagani

Letzte Aktualisierung: 2023-11-13
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

cours de chimie au kenya sur un.org avec leur permission

Swahili

kipindi cha somo la kemia kutoka kwenye tovuti ya un.org, imetumika kwa ruhusa

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

les artistes brésiliens s’unissent pour sauver les lions au kenya

Swahili

wasanii wa brazil waungana kuwahifadhi simba nchini kenya

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

au kenya, la corruption est très répandue chez les politiciens et les fonctionnaires.

Swahili

ufisadi umeenea sana kati ya wanasiasa.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

des femmes aux seins nus sauveront-elles le tourisme au kenya?

Swahili

wanawake wanaovaa nusu uchi wataiokoa sekta ya utalii kenya?

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

nairobi fait partie de ma patrie, et tout ce qui touche au kenya me concerne

Swahili

nairobi ni sehemu ya nyumbani kwetu, na ninaijali sana kenya.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

2715 écoles de nairobi, au kenya seront bientôt connectées à internet gratuit:

Swahili

shule 2,715 jijini nairobi, kenya hivi karibuni zitaunganishwa na mtandao wa intaneti wa bure:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

alissa est venue au kenya où elle travaillait depuis plusieurs mois avec la population de kibera.

Swahili

alissa alikuwa amekuja kenya, na kwa muda wa miezi kadhaa, alikuwa anafanya kazi na watu wanaoishi kibera.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

erreur d'appréciation des sages de l'ua sur la situation préélectorale au kenya ?

Swahili

umoja wa afrika na "busara" ya mashaka kuhusu kenya

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Französisch

capture d’écran d’une carte participative affichant les centres de transfusion au kenya.

Swahili

ramani inayoonyesha maeneo ya kupokelea damu nchini kenya.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

en quoi les violences post-électorales de 2007 et 2008 au kenya ont-elles affecté vos vies ?

Swahili

namna gani ghasia za baada ya uchaguzi nchini kenya mwaka 2007 na 2008 ziliathiri maisha yako?

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

soutien pour les familles et victimes de l'université de garissa au kenya, sur twitter, via arnaud seroy

Swahili

watumiaji wa twita waonesha mshikamano wao na wahanga wa tukio la garisa kupitia arnaud seroy katika twita

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

dans ce post, je vais, cependant, souligner les aspects qui font de nairobi, au kenya, un lieu de choix.

Swahili

katika makala hii hata hivyo, nitajaribu kuwaonyesha masuala yanayoifanya, nairobi kenya kuwa chaguo.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

ushahidi, qui signifie témoignage en swahili, est un outil qui fut développé à la suite de violences lors des élections au kenya en 2007.

Swahili

ushahidi ni nyenzo ambayo ilitengenezwa baada ya uchaguzi uliokosa maelewano wa kenya mwaka 2007.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

divers acteurs du monde universitaire et numérique se retrouveront pour discuter de l’accès libre dans l’enseignement supérieur au kenya.

Swahili

wasomi mbalimbali na wadau wa mitandao watakusanyika pamoja kujadili upatikanaji wa zana huru za kitaaluma katika elimu ya juu nchini kenya.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

ils appartiennent aussi tous deux au même parti au pouvoir, et niyombare a été tout à la fois ambassadeur au kenya et responsable du renseignement, poste dont il a été limogé cette année.

Swahili

zote wako kwenye serikali ya chama hicho hicho, na niyombare alikuwa balozi wa kenya na mkuu wa ujasusi, nafasi ambayo alinyang'anywa mwaka huu.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

au kenya, les urbains sont en train d'apprendre différentes techniques pour faire pousser des aliments à consommer et à vendre, même dans des espaces très réduits.

Swahili

nchini kenya, wakazi wa mijini wameanza kujifunza mbinu anuai za kulima chakula kwa ajili ya matumizi yao na kuuza hata katika eneo dogo.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

en 1991, ahmed hassan osman* a fui la somalie en guerre, laissant sa famille derrière lui à kismayu, pour demander l’asile au kenya.

Swahili

mwaka 1991 ahmed hasan osman* alikimbia mtafaruku huku somalia, na kuiacha familia yake mjini kismayu, na kufanya safari ya kuelekea kenya ili kutafuta hifadhi.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

la veillée a inclus une lecture de poésie composée à cette occasion, une cérémonie à la bougie suivie d'une minute de silence et la préparation de cartes qui seront ensuite envoyées aux familles des 147 victimes au kenya.

Swahili

tukio hilo lilihusisha kusomwa kwa mashairi yaliyotungwa na washiriki wenyewe, kuwasha mishumaa ya maombolezo inayoambatana na dakika moja ya kukaa kimya na pia kutengeneza kadi za pole zilizoandikwa kwa anuani za familia za wahanga 147 ambazo zingetumwa nchini kenya baadae.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Französisch

en 1992, son cousin abdulahi sheikh est arrivé au kenya à la recherche d’une assistance. ayant obtenu le statut de réfugié, abdulahi s’est retrouvé au camp de dagahaley à dadaab.

Swahili

mwaka 1992, binamu yake abdulahi sheikh aliwasili nchini kenya akitafuta msaada, alipopewa hadhi ya ukimbizi, abdulahi aliishia kwenye kambi ya dagahaley huko dadaab.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,792,581,802 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK