Sie suchten nach: inversiones (Spanisch - Swahili)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

inversiones

Swahili

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Spanisch

Swahili

Info

Spanisch

el proyecto de extracción de gas de statoil en tanzania es una de las inversiones más grandes en la historia de África subsahariana.

Swahili

mradi wa statoil wa uvunaji wa gesi nchini tanzania ni moja ya miradi mikubwa kabisa kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la sahara.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Spanisch

abran el mercado a la competencia y rentabilidad para que vean surgir inversiones a gran escala y una mejoría significativa en el acceso al servicio.

Swahili

fungueni masoko kwa ushindani na biashara za faida na mtaona uwekezaji mkubwa na matokeo yake huduma hiyo itaongezeka kuwafikia watu wengi zaidi.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Spanisch

francois ndiaye en niamey desenvuelve las bases del acuerdo financiero que incluye varios depositarios y será supervisado por el grupo de inversiones bolloré .

Swahili

francois ndiaye katika niamey anaelezea kuhusu makubaliano ya fedha inayojumuisha wadau mbalimbali na itasimamiwa na kundi la uwekezaji la bolloré .

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Spanisch

benoît illassa en cotonú se pregunta por qué los grupos privados de inversiones tanto de níger como de cotonú no fueron los seleccionados para dirigir tales proyectos.

Swahili

benoît illassa mjini cotonou anashangaa kwa nini vikundi binafsi vya kuwekeza kutoka aidha niger au cotonou havikuchaguliwa kuelekeza miradi hiyo.bajeti ya makadirio imewekewa kati ya mabilioni 100 za cfa (takribani dola bilioni 2).

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Spanisch

no obstante, etecsa se encuentra ejecutando inversiones que posibiliten la implementación de estos servicios con las condiciones técnicas requeridas y a precios inferiores a los actuales.

Swahili

hata hivyo, , etecsa inaangalia namna ya utoaji wa huduma utakaochochea utoaji wa huduma kwa kuzingatia uwezo wa kiufundi na kwa gharama za chini zaidi ikilinganishwa na hali ilivyo sasa.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Spanisch

en los últimos años, esta ciudad de cuatro millones de habitantes, ha experimentado una ola de inversiones enorme ya que el estado implementó diversas iniciativas para mejorar la situación económica de las regiones menos desarrolladas del oeste.

Swahili

miaka ya hivi karibuni, jiji hili lenye wakazi takribani milioni nne limeanza kuona matumaini ya ongezeko la uwekezaji wakati ambao taifa limebuni njia mpya za kuinua uchumi wa kanda masikini za magharibi.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Spanisch

en la medida que se desplieguen las inversiones necesarias, nuestra empresa podrá lograr índices cada vez más comparables en cuanto a calidad y desarrollo, y ampliará la infraestructura de telecomunicaciones, posibilitando la disminución de los precios y asimilando un mayor ritmo de crecimiento y diversificación de los servicios.

Swahili

wakati ambapo uwekezaji muhimu unapoanza kuonekana, kampuni yetu itafikia kiwango cha ushindani kwa kuzingatia ubora na ubunifu, na hivyo miundombinu ya mawasiliano itaongezeka, hali itakayopelekea kupungua kwa gharama na kuwezesha kukua kwa haraka njia za mawasilino na utoaji wa huduma nzuri.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Spanisch

debemos olvidar el pasado y comenzar a hacer públicos por ley los contratos de inversión en el sector del gas natural; estoy seguro de que llegará el día en el que todos los contratos de inversión sean públicos.”

Swahili

tunapaswa kusahau yaliyopita na tuanze kuingia mikataba ya uwekezaji ya gesi asilia kwa uwazi na kwa kufuata taratibu; ni dhahiri kuwa, itafikia wakati ambao mikataba yote ya uwekezaji itakuwa bayana.”

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
8,045,069,667 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK