Google fragen

Sie suchten nach: alibainisha (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

Muandaaji mmoja wa Kiafrika alibainisha:

Englisch

As one of the African organizers points out:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Jomanex alibainisha kwa lugha ya ki-Amariki:

Englisch

Jomanex noted in Amharic: Customizing: April Fools’ is for foreigners. “Ours” is ETv.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Alibainisha kuwa shambulio hilo lilikuwa ni sababu ya uamuzi huo.

Englisch

She pointed to this attack as the cause for this decision.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Steve Nicolle alibainisha uwezekano wa athari ya sera hiyo mpya ya elimu:

Englisch

Steve Nicolle pointed out one possible effect of the new policy:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Vera Wilhelmsen alibainisha kwamba ingawa si kila mtu anahitaji kufika Chuo Kikuu lakini kila mmoja anastahili elimu bora ya msingi:

Englisch

Vera Wilhelmsen noted that not everyone needs to go to university but everyone deserves a good basic education:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Louis Michel, waziri wa zamani nchini Ubeligiji na kamishina wa Umoja wa Ulaya, alibainisha kwenye blogu yake :

Englisch

Louis Michel, a former minister in Belgium and European commissioner, noted on his personal blog :

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Mshiriki mmoja alibainisha kuwa wengi wa wanafamilia walio ng’ambo inawabidi kupata teknolojia za mawasiliano kwa kupitia watu wengine.

Englisch

One participant observed that the majority of their family members overseas needed to access communication technology through others.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Mwanablogu wa Kenya Ken Opalo alibainisha kwamba taarifa zinaoonesa kwamba marais wanaojaribu kuongeza kipindi cha urais wana nafasi kubwa ya kufanikiwa:

Englisch

Kenyan blogger Ken Opalo noted that the record suggests presidents trying to extend their limits are more likely to succeed:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Akuzike Polela (@Mulengi) kutoka Zambia alibainisha kwamba Morgan Tsvangirai ana rafiki mmoja wa ki-Afrika:

Englisch

Akuzike Polela (@Mulengi) from Zambia noted that Morgan Tsvangirai has one African friend:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Kyaw Zwa Moe, mhariri wa jarida la Irrawaddy, alibainisha jinsi ambavyo Win Tin hakupata kamwe kuafikiana na serikali ya Junta licha ya afya yake kudhoofika:

Englisch

Kyaw Zwa Moe, editor of the Irrawaddy magazine, noted how Win Tin never compromised with the ruling junta despite his failing health:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Mmoja wa wauzaji wa kituo hicho alibainisha katika mahojiano kwamba mabango yanayojiuza yenyewe kwenye eneo hilo yalilipiwa, na kwamba kila moja liling’arimu Kwacha 500 kwa vyama vya siasa vilivyoonyeshwa.

Englisch

One of the curios’ sellers disclosed in an interview the posters now selling themselves at the place were paid for, and that each did cost K500 for the depicted political parties.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Mwandishi wa Habari za Uchunguzi na Mtengenezaji wa filamu Stanley Kwenda (@stanleykwanda) alibainisha kuwa ushiriki wa polisi inawezekana uliwatisha wapiga kura wasio na uelewa:

Englisch

Investigative journalist and film maker Stanley Kwenda (@stanleykwanda) noted that participation of police could have intimidated illiterate voters:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Vilevile, kabla ya uamuzi huo, mwanablogu wa Kimarekani na mtaalamu wa masuala ya uhamiaji, Koulflo Memo, alibainisha kwamba TPS "si kihitaji akili""

Englisch

Also prior to the decision, American blogger and immigration scholar Koulflo Memo called TPS a "no-brainer":

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

Mwanablogu wa ki-TanzaniaThinklessactmore alibainisha kwamba polisi wanaweza kutumia sheria hii “kuwabughudhi wanaharakati wa mtandaoni kwa kisingizio cha kuwa na mashaka na udhalilishaji wa mtandaoni bila kufuata utaratibu wa kisheria."

Englisch

Tanzanian blogger Thinklessactmore noted that police could use the law to "harass online activists in the name of suspicion of cyber bullying without due of the law."

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

Watumiaji wengi wa mtandao wa twita waliokuwa na hasira walihamasihwa kutwiti baada ya kukamatwa kwa Takrooz wakisema kuwa vitendo vya ukamataji havina sababu ya msingi. @Lair_Vulnerable alibainisha:

Englisch

Many angry Twitter users have be inspired to tweet after Takrooz's arrest saying that such arrests are futile. @Lair_Vulnerable noted:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
4,401,923,520 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK