Google fragen

Sie suchten nach: asilimia themanini na sita (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

Elfu themanini na saba

Englisch

one thousand and twenty thousand

Letzte Aktualisierung: 2019-05-14
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

mia nane themanini na saba

Englisch

nine hundred and eighty thousand

Letzte Aktualisierung: 2020-03-11
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kumi na sita tamu

Englisch

sweet sixteen

Letzte Aktualisierung: 2016-02-14
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

laki tatu na elfu thesini na sita

Englisch

three hundred and twenty thousand

Letzte Aktualisierung: 2019-12-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Jumla tulikuwa watu mia mbili na sabini na sita katika meli.

Englisch

And we were in all in the ship two hundred threescore and sixteen souls.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Kwa sasa, uchunguzi unaendelea na watu themanini na tatu wameshikiliwa kufuatia zoezi la kuwasaka lililozinduliwa baada ya mashambulizi hayo mawili jumapili katika makanisa ya mji wa Garrissa.

Englisch

In the meantime, investigations are continuing and eighty-three people have been arrested in a massive security swoop launched after Sunday's twin attacks in Garissa churches.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Halafu alibaki mjane hadi wakati huo akiwa mzee wa miaka themanini na minne. Wakati huo wote alikaa Hekaluni akifunga na kusali usiku na mchana.

Englisch

And she was a widow of about fourscore and four years, which departed not from the temple, but served God with fastings and prayers night and day.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Kibaya zaidi ni kwamba wakubwa wao hawakupata fungu lolote kwa ajili hiyo kwa zaidi ya miezi kumi na sita.

Englisch

What's worse is that their manager did not get any payments for the past 16 months.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Hitaji hili limesababisha kuongezeka kwa bei kwa hadi mara ishirini ya bei ya kawaida na pia kusababisha kuchelewa kwa usmbazaji wa vifaa vya kimatibabu kwa kati ya miezi minne na sita.

Englisch

This demand has led to the increase in prices of up to twenty times the normal price and also induced delays on the supply of medical items for four to six months.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Wanaharakati thelathini na sita wa Azeri akiwamo mwanablogu mmoja, Kiaksar, walikamatwa siku ya Alhamisi, 27 Juni katika eneo la Urmia.

Englisch

Thirty-six Azeri activists including one blogger, Kiaksar, were arrested on Thursday, 27 June in Urmia.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Hapo Wayahudi wakasema, "Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita. Je, wewe utalijenga kwa siku tatu?"

Englisch

Then said the Jews, Forty and six years was this temple in building, and wilt thou rear it up in three days?

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

Miaka kumi na sita baada ya uchaguzi wake wa mwisho, Waangola kwa mara nyingine tena watapata fursa ya kutumia haki yao ya kupiga kura katika uchaguzi wa bunge,utakaofanyika kuanzia tarehe 5 mpaka 9 Septemba.

Englisch

Sixteen years since the last elections, Angolans will once again have the opportunity to exercise their right to vote in the upcoming legislative elections, taking place from 5 through 6 September.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Posti hii ni sehemu ya toleo la Ishirini na Sita la #LunesDeBlogsGV (Jumatatu ya blogu kwenye GV) mnamo Oktoba 27, 2014.

Englisch

This post was part of the twenty sixth #LunesDeBlogsGV (Monday of blogs on GV) on October 27, 2014.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Hapa ni lazima kutumia ujasiri! Mwenye akili anaweza kufafanua maana ya tarakimu ya mnyama huyo, maana ni tarakimu yenye maana ya mtu fulani. Tarakimu hiyo ni mia sita sitini na sita.

Englisch

Here is wisdom. Let him that hath understanding count the number of the beast: for it is the number of a man; and his number is Six hundred threescore and six.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Utoaji rushwa katika sekta ya maji ni jambo la kawaida na inahusisha madaraja yote ya watu kuanzia mtu wa kawaida, wanasiasa, Wakuu wa Taasisi ya Maji na hata mashirika yasiyo ya serikali wanaofanya kazi katika hii sekta. Ripoti juu ya "Utoaji rushwa katika sekta ya maji" kupitia mtandao wa Uadilifu wa maji katika kitabu chenye jina la "Mafunzo ya Mwongozo wa Uadilifu wa maji " inasema kwamba katika jangwa la Sahara Afrika, asilimia arobaini na nne (44%) ya nchi haina uwezekano wa kufikia lengo la Maendeleo ya Milenia la upatikanaji wa maji ya kunywa, asilimia themanini na tano (85%) hawana uwezekano wa kufikia kipengele cha usafi wa mazingira.

Englisch

Corruption in the water sector is ripe and involves all classes of people ranging from the ordinary man, politicians, Heads of Water Institutions and even Non-Governmental organizations working in this sector.Report on “Corruption in the water sector” by Water Integrity Network in a book titled “Training Manual on Water Integrity” states that in the sub-Sahara Africa, forty-four percent (44 %) of the countries are unlikely to attain the Millennium Development Goal target for drinking water eighty-five percent (85%) are unlikely to attain the sanitation aspect.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

Waandishi kumi na sita wa kimataifa ambao walishiriki katika Tamasha la Wapalestina la Fasihi, lililofanyika katika miji kadhaa Palestina kuanzia Mei 31 hadi Juni 5, walitoa taarifa kukashifu Israeli kwa kuendelea kwa ujenzi wa makazi na kupongeza juhudi za kususia kampeni ya Boycott Divest and Sanction (BDS).

Englisch

Sixteen international authors who participated at the Palestine Festival of Literature, held from in several Palestinian cities from May 31 to June 5, released a statement condemning Israel's continued settlement construction and applauding the efforts of the Boycott Divest and Sanction (BDS) campaign.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Miaka kumi na sita baada yakifo chake kilichotokea Oktoba 14, 1999, wa-Tanzania wanatumia alama habari ya #DearNyerere kumkumbuka, hasa katika mukhtadha wa uchaguzi mkuu wa Tanzania utakaofanyika Oktoba 25, 2015.

Englisch

Sixteen years after his death on 14 October 1999, Tanzanians are using the hashtag #DearNyerere to remember him, particularly in the context of Tanzanian General Election taking place on 25 October, 2015.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit
4,401,923,520 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK