Google fragen

Sie suchten nach: chuo cha ufundi (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

chuo cha utalii

Englisch

Nilifanikiwa kujiunga katika chuo utalii kilichopo hapahapa arusha ma

Letzte Aktualisierung: 2020-01-24
Nutzungshäufigkeit: 2
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

chuo cha mapenzi

Englisch

College will

Letzte Aktualisierung: 2014-11-10
Nutzungshäufigkeit: 2
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

nimetokea chuo cha mpwapwa

Englisch

I've come from mpwapwa college

Letzte Aktualisierung: 2018-09-29
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

picha za uchi za wanafunzi wa chuo cha mola go

Englisch

naked pictures of Mola college students

Letzte Aktualisierung: 2019-11-10
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Anaongeza kuwa wanafunzi wa chuo cha kijeshi wametekwa na gaidi mwingine kufuatia mabomu hayo.

Englisch

He adds that military school students are currently being held hostages by another attacker following the bombing.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Alisoma somo la Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Guangdong ambacho ni Chuo cha Mambo Ya Nje huko Guangzhou, China.

Englisch

She studied English at Guangdong University of Foreign Studies in Guangzhou, China.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Hii siyo sahihi, kutumia picha ya wanafunzi katika chuo cha mafunzo ya kijeshi ili kupotosha siyo vizuri.

Englisch

this is wrong, using the photos of the students of the military academy to mislead is not good.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Akifuatilia posti yake kuhusu "ujinga wa kupunguza bajeti kwa Chuo cha Bahamas", Blogworld anasema:

Englisch

As a follow-up to her post about "the absurdity of cutting the budget for the College of The Bahamas", Blogworld says:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

Hiyo hapo Mwenye nyumba napangisha. Ipo karibu na mlimani city na chuo cha ardhi vyumba vitatu kimoja master sebule dinning na jiko ndani full tiles gypsum maji na umeme gali mpaka mlangoni aluminium windows kodi 300 000 mawasiliano 0659 693503 nb mm ndie mwenye nyumba

Englisch

That's where the landlord is renting. Located near mountain city and land college three rooms one master living room dinning with indoor stove full tiles gypsum water and electric garage till door aluminum windows rent 300 000 contacts 0659 693503 nb mm homeowner

Letzte Aktualisierung: 2020-07-01
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Twiti zinazohoji sera ya mambo ya nje ya Marekani kwa Mashariki ya Kati ziliendelea wakati ambao Romney, anayepeperusha bendera ya chama cha Republican, alipozungumza katika Chuo cha Jeshi cha Virginia.

Englisch

Tweets questioning United States (US) foreign policy in the Middle East continued as Romney, the Republican nominee for the US presidential elections, spoke at the Virginia Military Institute.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Wiki iliyopita, Boko Haram waliwafyatulia risasi wanafunzi katika chuo cha kilimo kilichopo katika jimbo la Yobe, waliwaua kwa risasi makumi mawili ya wanafunzi waliokuwa na umri wa kati ya miaka 18 na 22 waliokuwa wamelala katika bweni lao.

Englisch

Last year, Boko Haram opened fire on students at the College of Agriculture in Yobe state, gunning down dozens of students aged 18 to 22 while they slept in a dormitory.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Mradi wa Minna no Honyaku au Tafsiri kwa Wote ni matokeo ya wazo la Kundi la Kutafsiri la Maktaba na Chuo Cha Taifa cha Habari na Teknolojia ya Mawasiliano pamoja na Maabara ya Sayansi ya Habari ya Chuo Kikuu cha Tokyo, kwa kushirikiana na shirika la Uchapishaji la Sanseido.

Englisch

The project Minna no Honyaku or Translation for all is the brainchild of Language Translation Group of the National Institute of Information and Communication Technology and Library and Information Science Laboratory of the University of Tokyo, in cooperation with publishing company Sanseido.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Susan Thomson, profesa wa stadi za siasa za Afrika kwenye chuo cha Hampshire nchini Marekani, aliandika kwenye makala haya yaliyochapishwa kwenye mtandao wa machapisho ya kitaaluma wa Cairn.info:

Englisch

Susan Thomson, a professor of contemporary African politics at Hampshire College in the U.S., wrote in an article published on academic publication hub Cairn.info:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Mjini London wanafunzi pia walichukua hatua ya mshikamano na Gaza katika chuo cha Uchumi cha London: Zaidi ya wanafunzi 40 waliendela na kampeni yao ya kukaa chini katika Chuo Cha Uchumi cha London leo hii ili kupinga machafuko huko Gaza.

Englisch

In London students also took action in solidarity with Gaza at the prestigious London school of economics: More than 40 students were continuing their sit-in at the London School of Economics today in protest at the conflict in Gaza.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

@aspindler2 (masaa 18 yaliyopita): Maandamano katika Chuo Cha Makerere Kampala Uganda baada ya wanafunzi 2 kupigwa risasi na mlinzi wa usalama jana usiku.

Englisch

@aspindler2 (18 hours ago): Demonstrations at Makerere Univ. Kampala uganda after shooting of 2 stdnts last night by security guard.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Mwezi Desemba mwaka 2008, wanafunzi 20 walishinda vigezo vikubwa na kufuzu kutoka chuo cha uganga huko Mogadishu – kundi la kwanza kufanya hivyo katika takriban miongo miwili ndani ya nchi iliyoshindwa katika pembe ya Afrika.

Englisch

In December 2008, 20 Somali students overcame huge odds and graduated from medical school in Mogadishu—the first batch to do so for almost two decades in the failed Horn of Africa state.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

@ShahbagInfo: damu yenye Rh hasi inahitajika #Shahbag; Mifuko 700 ya damu imekusanywa hapa, 500 imetumwa katika hospitali ya chuo cha Dhaka na kwenye kambi; Hospitali ya chuo cha Enam. #Savar

Englisch

@ShahbagInfo: Rh NEGATIVE BLOOD NEEDED in #Shahbag; 700 bags of #blood collected here, 500 sent to Dhaka Medical College & Enam Medical College. #Savar

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

Kijana huyo mdogo, anayefahamika zaidi kwa jina la Sam, mwanafunzi wa darasa la 10 (sawa na sekondari ya juu) kwenye Chuo cha Teknolojia (UTC) huko Reading, mji ulioko nje kidogo ya London.

Englisch

The teenager, better known as Sam, is a Year 10 (high school level) student at the University Technical College (UTC) in Reading, a town just outside London.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Mariela Shaker ambayenbsp;anafanya shahada ya kwanza ya musiziki kwenye chuo cha Monmouth, na awali alisoma kwneye Chuo Kikuu cha Aleppo, alifurahi kkutana na wanafunzi wenzake wa ki-Syria.

Englisch

Mariela Shaker who is pursuing a bachelor’s degree in music at Monmouth College, and previously studied at Aleppo University, was happy to meet her Syrian colleagues.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Riwaya hiyo, kwa kipindi fulani, ilizuiliwa nchini Sudani kwa vile ilijumuisha lugha ya picha za ngono, hata hivyo imetambuliwa kama “Riwaya ya muhimu zaidi ya Kiarabu kwenye karne ya 20” na Chuo cha Fasihi cha Kiarabu kilichoko mjini Damascus, Siria.

Englisch

The novel was, at one point, banned in Sudan for its inclusion of sexual imagery, yet it was declared “the most important Arabic novel of the 20th century” by the Syrian-based Arab Literary Academy in Damascus.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit
4,401,923,520 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK