Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
non-nobel dr. zafar iqbal ambaye hana tuzo ya nobeli, ameshapanda jukwaani na kusema kwa sauti kubwa kauli mbiu.
non-nobel dr. zafar iqbal has came to the podium with his wife to shout slogans.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
samak alikuwa mmoja wa walinzi wa kale wa thailand ambaye aliweza kukaa jukwaani na kubaki na heshima yake kisiasa kwa sababu sura nyingi za msingi za siasa za thailand zimebaki zilivyokuwa.
samak was one of thailand’s old guard who was able to stay on the scene and politically relevant because many basic features of thai politics remained unchanged.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
@brianlara: imran khan aliumia wakati wa mkutano kwa kuanguka kutoka jukwaani... balaa limemuepuka, asante mungu!
@brianlara: imran khan injured @ rally fell off stage... out of danger thank god!!
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
wakati ambapo watu wengi wana maoni kwamba mwanamuziki huyo — ambaye anafahamika zaidi kwa muziki wake wenye miondoko ya kingono awapo jukwaani — alikuwa akiangusha heshima ya taifa lake kwa jinsi alivyokuwa akiendesha maisha yake kwenye maonyesho hayo ya moja kwa moja kwenye televisheni, wapo waliojenga hoja kwamba uzoefu wake kwenye nyumba hiyo ulisaidia kumkomaza “kwa kumpa mtaji wa kiuhusiano.”
while a lot of people felt that the musician, well known for her raunchy stage antics, was a let down to the nation for her conduct in the reality tv show, others thought that her experience in the house enhanced her “relational capital.”
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: