Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
mmeishi duniani maisha ya kujifurahisha na ya anasa. mmejinenepesha tayari kwa siku ya kuchinjwa.
ye have lived in pleasure on the earth, and been wanton; ye have nourished your hearts, as in a day of slaughter.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa mwenyezi mungu.
allah has only forbidden you to eat what dies of itself, and blood and swine flesh and what has been consecrated to any other name than of allah.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
siku moja kabla, watu wa jordan walionesha mshikamano wao na japan kufuatia isis kushukiwa kutoa video iliyokuwa inaonesha kuchinjwa hadi kufa kwa mwandishi wa habari kenji goto.
a day before, jordanians stood in solidarity with japan after isis purportedly released a video beheading journalist kenji goto.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
anaogopeshwa na habari kama hii ya hivi karibuni ya kuchinjwa kwa watu kadhaa nchini libya na kundi la isis, na anaamini kuwa kwa kuwaelimisha watoto wa libya kutasaidia kukomesha kuenea kwa ukatili huu.
she's worried about news like the recent beheading of a group of men in libya at the hands of isis, and she hopes that educating libyan children will help stop the spread of radicalization.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kwa mujibu wa habari kutoka al badil, mtu mmoja alikaririwa kutoka kwenye chumba cha kuhifadhia maiti ambaye alisema kuwa, mmoja kati ya watu waliouawa kwa kuchinjwa na wengine watatu walijeruhiwa vibaya vichwani mwao.
al badil news quotes a witness from the mortuary who says that one of those killed was slaughtered and the remaining three had injuries to their heads.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
msivunje hishima ya alama ya dini ya mwenyezi mungu wala mwezi mtakatifu, wala wanyama wanao pelekwa makka kuchinjwa, wala vigwe vyao, wala wanao elekea kwendea nyumba takatifu, wakitafuta fadhila na radhi za mola wao mlezi.
do not violate allah’s sacraments, neither the sacred month, nor the offering, nor the necklaces, nor those bound for the sacred house, who seek their lord’s grace and [his] pleasure.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
video hii ya kutisha inakuja mara baada ya ile ya kuchinjwa kwa mwandishi wa kimarekani wa habari katika picha, james wright foley, ambaye hakuonekana nchini syria kwa siku 636, kabla ya video iliyoonesha mauaji yake kuwekwa hadharani na isis mnamo august, 19.
this gruesome video follows the beheading of american photojournalist james wright foley, who has been missing in syria for 636 days, before a video showing his murder was released by the isis on august 19.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
enyi mlio amini! msivunje hishima ya alama ya dini ya mwenyezi mungu wala mwezi mtakatifu, wala wanyama wanao pelekwa makka kuchinjwa, wala vigwe vyao, wala wanao elekea kwendea nyumba takatifu, wakitafuta fadhila na radhi za mola wao mlezi.
believers, do not disrespect the reminders of god, the sacred months, the animals brought for sacrifice, or what is marked for sacrificial offering or the people heading to the precinct of the sacred house to seek the favor and pleasure of their lord.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: