Google fragen

Sie suchten nach: kushawishi (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

Ni kwa kuiwango gani mabloga wameweza kushawishi muelekeo wa wa RZ?

Englisch

How much influence have bloggers had at RZ ?

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Sisi zaidi twatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kufanya kazi kushawishi Israeli kuzingatia kanuni za msingi za sheria za kimataifa.

Englisch

We furthermore call on the International Community to work to induce Israel to uphold basic principles of international law.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Waoga wanatumia mbinu za vitisho ili kushawishi maoni ya wengi yawe ni ya kuzuia mabadiliko na mchakato huu kwa kusambaza taarifa ambazo si sahihi kuhusu uundwaji wa katiba na kikao cha bunge la katiba kilivyopangwa.

Englisch

Fearmongers use scare tactics to influence public opinion to impede change and progress by disseminating false information about the draft constitution and the planned Constituent Assembly meeting.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Majaribio kadhaa ya kushawishi uwezekano huo, likiwemo lililofanywa na breakthrough, yalitumwa huku na huko, na wajumbe 83 wa Baraza la Kongresi walitia saini barua iliyotumwa kwa Rais Obama kuomba raia wa Haiti wapewe hadhi hiyo ya hifadhi ya muda.

Englisch

Several petitions, including one by breakthrough, were circulated, and 83 Congresspersons signed a letter to President Obama requesting TPS for Haitians.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kushawishi "ina maana pana, ufafanuzi wa kisheria ni maalum kabisa. Kwa mwanzo, sheria inatofautisha ushawishi kutoka kuingilia kati katika kampeni ya kusaidia au kupinga mgombea wa ofisi ya umma, au "elec ??? upainia." Misaada ya umma inaweza kushiriki kushawishi (tazama hapa chini), lakini wapiga kura ni marufuku (tazama sehemu inayofuata) Sheria za Shirikisho na kanuni za IRS zinagawanyika kushawishi (kinyume na uchaguzi) katika Jamii kuu 2

Englisch

Letzte Aktualisierung: 2021-04-13
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

 Uaminifu wa kibinadamu na uwezo wa kuwasiliana nao ➢ Wajenzi wa timu ya kufanya kazi ngumu na ya kushawishi, wenye uwezo wa kuingiliana huhamasisha na kufikia utendaji wa kitaaluma au idara. ➢ Kuwezesha na kuaminika katika kuunga mkono na kuwezesha kampuni inazalisha malengo halisi ya maendeleo endelevu ya muda mrefu.  Mtazamo rahisi wa mafanikio ya manufaa ya kampuni na mipango ya idara na malengo binafsi ya wafanyakazi, wauzaji na wateja

Englisch

 High personal integrity and able to relate to them Hard working and persuasive team builder, able to interact motivate and achieve exceptional institutional or department performance. Dependable and reliable in supporting and enabling company affords to produce genuine long-term sustainable developmental goals. Flexible approach to the mutually beneficial achievements of company and departmental plans and personal goals of staff, suppliers and customers

Letzte Aktualisierung: 2017-11-07
Nutzungshäufigkeit: 2
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

Video hiyo iliyopewa jina la "Njia ya kwenda Ahera: Kutoka Majiji Pacha kwenda Nchi ya Kuhamia" ni sehemu ya ujumbe wa propaganda zinazokubalika na Al-Qeda kushawishi kizazi kipya.

Englisch

The video “The Path to Paradise: From the Twin Cities to the Land of Migration” is part of al-Qaeda-approved propaganda messages to appeal to the next generation.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
4,401,923,520 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK