Sie suchten nach: mwenye dhambi (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

ni chakula cha mwenye dhambi.

Englisch

food of the sinner.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ole wake kila mzushi mwenye dhambi!

Englisch

woe to every sinful liar

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 4
Qualität:

Swahili

wala haikadhibishi ila kila mwenye kuruka mipaka, mwenye dhambi.

Englisch

and none belieth it save each trespasser, sinner.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hakika mwenyezi mungu hampendi aliye khaaini, mwenye dhambi.

Englisch

god does not love the deceitful sinner.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

na mwenyezi mungu hampendi kila mwenye kukanya na afanyae dhambi.

Englisch

allah does not like any sinful ingrate.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mimi si mtakatifu, labda ukimfikiria mtakatifu kuwa mwenye dhambi asiyeacha kujitahidi

Englisch

"i am not a saint, unless you think of a saint as a sinner who keeps on trying." - nelson mandela — alfredo flores (@alfredoflores) december 6, 2013

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

basi ngojea hukumu ya mola wako mlezi wala usimt'ii miongoni mwao mwenye dhambi au mwenye kufuru.

Englisch

so be patient for the decision of your lord and do not obey from among them a sinner or ungrateful [disbeliever].

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

watu wote walipoona hayo, wakaanza kunung'unika wakisema, "amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi."

Englisch

and when they saw it, they all murmured, saying, that he was gone to be guest with a man that is a sinner.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

fahamuni kwamba, huyo anayemrudisha mwenye dhambi kutoka njia yake ya upotovu, ataiokoa roho yake kutoka kifo, na dhambi nyingi zitaondolewa.

Englisch

let him know, that he which converteth the sinner from the error of his way shall save a soul from death, and shall hide a multitude of sins.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

yeye akajibu, "kama ni mwenye dhambi mimi sijui. lakini kitu kimoja najua: nilikuwa kipofu, na sasa naona."

Englisch

he answered and said, whether he be a sinner or no, i know not: one thing i know, that, whereas i was blind, now i see.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

ukiwa mwenye dhambi fisadi mla rushwa ukija #chadema utakuwa mtakatifu eeeh — nathaniel imani (@nathanielimani) august 7, 2015

Englisch

if you are sinful and corrupt, when you join chadema you become a saint.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

basi, wakamwita tena aliyekuwa kipofu, wakamwambia, "sema ukweli mbele ya mungu! sisi tunajua kwamba mtu huyu ni mwenye dhambi."

Englisch

then again called they the man that was blind, and said unto him, give god the praise: we know that this man is a sinner.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

simoni petro alipoona hayo, akapiga magoti mbele ya yesu akisema, "ondoka mbele yangu, ee bwana, kwa kuwa mimi ni mwenye dhambi!"

Englisch

when simon peter saw it, he fell down at jesus' knees, saying, depart from me; for i am a sinful man, o lord.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

hakika mwenyezi mungu husamehe dhambi zote. hakika yeye ni mwenye kusamehe, mwenye kurehemu.

Englisch

(all muslims are truly the slaves of prophet mohammed – peace and blessings be upon him.)

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

labda utasema: "ikiwa ukosefu wa uaminifu kwa upande wangu unamdhihirisha mungu kuwa mwaminifu zaidi na hivyo kumpatia utukufu, basi singepaswa kuhukumiwa kuwa mwenye dhambi!"

Englisch

for if the truth of god hath more abounded through my lie unto his glory; why yet am i also judged as a sinner?

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

lakini yule mtoza ushuru, akiwa amesimama kwa mbali bila hata kuinua macho yake mbinguni, ila tu akijipiga kifua kwa huzuni, alisema: ee mungu, unionee huruma mimi mwenye dhambi.

Englisch

and the publican, standing afar off, would not lift up so much as his eyes unto heaven, but smote upon his breast, saying, god be merciful to me a sinner.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

baadhi ya mafarisayo wakasema, "mtu huyu hakutoka kwa mungu, maana hashiki sheria ya sabato." lakini wengine wakasema, "mtu mwenye dhambi awezaje kufanya ishara za namna hii?" kukawa na mafarakano kati yao.

Englisch

therefore said some of the pharisees, this man is not of god, because he keepeth not the sabbath day. others said, how can a man that is a sinner do such miracles? and there was a division among them.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
8,325,403,117 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK