Google fragen

Sie suchten nach: nani na unakaa (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

Hivi, huyu Laila ni nani na kwa nini wasichana na wanawake wa kiMisri wanapenda kufananishwa naye?

Englisch

Who is Laila and why do Egyptian girls and women associate themselves with her?

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Kwa hiyo, wizara hiyo ilimwamuru mfanyakazi wake huyo kujitambulisha yeye ni nani na kutoa tamko hadharani la kuomba radhi.

Englisch

It forced its own employee to reveal his identity and to issue a public apology.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Unapanda ndege nchini Naijeria na unakaa kwenye siti na wafanyakazi wa ndege wanabaki kujibaraguza na ndege haiondoki utadhani wanasubiri uwalipe ili ndege ipae."

Englisch

You get into a plane in Nigeria and you sit there and the crew keeps dilly dulling without taking off as they wait for you to pay them to fly the plane."

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

Kura za maoni na uchambuzi, kadhalika ni nani atakayeshinda kutokea wapi na ni nani aliyesema hivi kwa nani na kwa sababu gani.

Englisch

Exit polls and analysis and who will win from where and who said what to whom and why.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Sababu iliyotolewa ni kuwa wazazi hao walikuwa wanahubiri dini, bila ya ufafanuzi ni nani, na katika wakati gani, wapi na vipi madai yanayodaiwa yalitukia.

Englisch

The reason given was that the parents had been proselytizing, with no explanation of who, when, where or how this was alleged to have occurred.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Apolo ni nani? na Paulo ni nani? Sisi ni watumishi tu ambao tuliwaleteeni ninyi imani. Kila mmoja wetu anafanya kazi aliyopewa na Bwana.

Englisch

Who then is Paul, and who is Apollos, but ministers by whom ye believed, even as the Lord gave to every man?

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Siku chache kabla ya uchaguzi nchini Kenya mwaka 2007, tulikuwa na hali inayofanana na hiyo ambapo matokeo ya tafiti za kura za maoni ziliibua malumbano ya chuki, madai na pingamizi za madai kwamba matokeo yalikuwa yamechakachuliwa vilivyotegemea tu ni nani na ni chama gani kilipendelewa zaidi au kilipuuzwa katika kura za maoni.

Englisch

In the run-up to the Kenyan elections in 2007, we had a similar scenario where opinion polls became the centre of vicious debates, claims and counter claims of doctored results depending on who or which party was favored or dismissed by the polls.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Einige menschliche Übersetzungen mit geringer Relevanz wurden ausgeblendet.
Ergebnisse mit niedriger Relevanz anzeigen.

Eine bessere Übersetzung mit
4,401,923,520 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK