Sie suchten nach: kuteketezwa (Swahili - Französisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

French

Info

Swahili

kuteketezwa

French

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Französisch

Info

Swahili

sadaka za kuteketezwa au za kuondoa dhambi hazikupendezi.

Französisch

tu n`as agréé ni holocaustes ni sacrifices pour le péché.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hippolyte donossio anaripoti kuwa watu 150 waliuawa na maelfu ya nyumba kuteketezwa na waasi mwishoni mwa wiki.

Französisch

hippolyte donossio rapporte que 150 personnes ont été tuées et des milliers d'habitations incendiées par les rebelles durant le week-end.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mbali na kukuza uelewa wa jamii, muungano huo utawsilisha saini zilizokusanywa kutokana na tamko la mtandaoni kwa serikali ya hong kong na umeandaa mkutano na idara ya kilimo, uvuvi na hifadhi kujadili tamko lao la kuteketezwa kwa shehena ya pembe za ndovu zilzokamatwa.

Französisch

en plus d'alerter l'opinion publique, la coalition soumettra les signatures recueillies par la pétition en ligne au gouvernement de hong kong, et a arrangé une rencontre avec le ministère de l'agriculture, de la pêche et de la protection de l'environnement afin de négocier la destruction du stock d'ivoire confisqué.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hatua hiyo ya kupinga biashara ya pembe za ndofu ilizinduliwa na tamko la lucy lan skrine mwenye umri wa miaka 11 na christina seigrist mwenye miaka 8 kwenye wavuti ya avaaz.org katikati ya mwezi septemba likitoa mwito wa kuteketezwa kwa pembe za ndofu zilizokamatwa ili kutuma ujumbe mzito kwa wateja wa bidhaa hiyo nchini china kuwa shughuli hiyo haifai na ni kinyume cha maadili.

Französisch

cette action locale anti-ivoire a été lancée via une pétition mise en ligne par lucy lan skrine (11 ans) et christina seigrist (9 ans) sur avaaz.org en septembre, qui réclame la destruction du stock d'ivoire confisqué par l'administration, un geste fort pour signifier aux clients chinois qu'acheter de l'ivoire est immoral.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

na ni lazima mtu kumpenda mungu kwa moyo wote, kwa akili yote, na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani yake kama anavyojipenda mwenyewe. jambo hili ni muhimu zaidi kuliko dhabihu na sadaka zote za kuteketezwa."

Französisch

et que l`aimer de tout son coeur, de toute sa pensée, de toute son âme et de toute sa force, et aimer son prochain comme soi-même, c`est plus que tous les holocaustes et tous les sacrifices.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

mtetezi wa haki za wanawake nchini misri dalia aziada aliposti twiti hii baada ya makanisa kadhaa ya wakristo kuteketezwa katika maeneo mbalimbali nchini misri kufuatia operesheni ya kikatili iliyofanywa na jeshi agosti 14 2013, iliyokusudia kuwatoa wafuasi wa chama cha udugu wa ki-islamu kutoka makao ya makambi katika mji mkuu wa cairo, ambapo wamekuwa wakidai kurejeshwa madarakani kwa rais morsi kwa wiki kadhaa.

Französisch

la féministe égyptienne dalia aziada a publié ce tweet après l'incendie de nombreuses églises coptes en egypte . les incendies ont suivi l'évacuation meurtrière par les militaires égyptiens des pro-morsi et frères musulmans de leurs sit-ins au caire où ils demandaient le retour du président élu mohamed morsi.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,800,170,505 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK