Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
matamko
matamko
Letzte Aktualisierung: 2024-04-16
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
katika andiko hilo alitoa matamko kadhaa, lisilotarajiwa kabisa likiwa hili:
il y faisait plusieurs constatations, dont voici la plus étrange :
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
je zaid kadhalika hakuandika matamko ya madai yanayomhusu kadir jasin katika makala yake ya kujibu?
zaid n'a-t-il pas écrit quelques arguments douteux au sujet de kadir jasin, dans son billet de réponse?
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
tunajua matamko hayataishawishi serikali ya syria (au yeyote) lakini ndicho tunachoweza kukifanya.
nous savons bien que les pétitions de vont pas convaincre la syrie (ni personne) mais c'est tout ce qu'il nous reste.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kwenye forum réalisance , katata anakosoa mahojiano yale, hasa juu ya matamko ya kabila kutokuwa na maana.
sur forum réalisance , katata critique la qualité générale de l'interview, et en particulier ce qu'il estime être le manque de substance de joseph kabila.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
akirejea matamko ya rais piñera, mwandishi wa habari na mwanablogu francisco méndez (@franmen) anafafanua kuwa:
a propos des déclarations du président piñera, le journaliste et blogueur francisco méndez (@franmen) a signalé:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
matamko ya maafisa wa zambia yalipotosha ukweli kuhusu afya ya levy mwanawasa, rais wa tatu wa nchi hiyo, alipoteza maisha akiwa madarakani kwa kiharusi mwaka 2008.
les déclarations publiques de responsables zambiens sur la santé de levy mwanawasa, troisième président du pays, qui est mort en exercice d'un avc en 2008 étaient également trompeuses.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
imetaarifiwa kuwa rais museveni amehakikishia mamlaka ya marekani kuwa atapiga turufu muswada uliopendekezwa na mbuge wa ndorwa david bahati dhidi ya ushoga, msimamo ambao unavunja msimamo wake wa hivi karibuni na matamko ya maofisa walio katika serikali yake.
le président museveni aurait assuré aux autorités américaines qu'il allait mettre son véto au projet de loi anti-gay du député de la circonscription de l'ouest, david bahati, une promesse qui contredit de récentes prises de position et déclarations de membres de son gouvernement.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
waziri wa mambo ya nje harry kalaba mara kwa mara alitoa matamko ya kijinga kwenye kituo cha radio phoenix kama vile “viongozi wa upinzani wanaohoji afya ya rais sata wanaongozwa na chuki".
le ministre des affaires étrangères m. harry kalaba a régulièrement fait des déclarations ridicules à radio phoenix telles que "les dirigeants de l'opposition qui mettent en cause la santé du président sata sont malveillants".
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
majibu ya baraza la kijeshi yalikuwa na mwelekeo wa kupandisha hasira za watu kama yalivyokuwa matamko ya kikundi cha muslim brotherhood, tukikumbuka matukio ya mwaka 1954 wakati kikundi hicho kilipobebeshwa lawama, kupigwa marufuku, kuwekwa kizuizini, na kuteswa na mamlaka za serikali.
la riposte du csaf a été aussi provocatrice que la déclaration de la confrérie, rappelant les événements de 1954 , lorsque les frères musulmans avaient été accusés, interdits, jetés en prison et torturés.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
haiti ina majanga yake, ambayo yanasababisha moyo wa huruma, na sisi tuna majanga yetu, ambayo hufanya uharibifu sawa tu na ule wa tetemeko, matamko kama haya ya rais ambaye anashindwa kuwa mbali na mitafaruku, na ambaye rekodi yake ni chanzo zha utata.
haïti fait face aux siens, ce qui génère beaucoup de compassion, et nous affrontons les nôtres, aussi dommageables qu'un tremblement de terre, telles les déclarations d'un président qui peine à rester en dehors de la mêlée et dont les annonces prêtent à la controverse.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: