Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
wakakaa pamoja na wale waumini kwa muda mrefu.
וישבו שם עם התלמידים ימים לא מעטים׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
walimwomba akae nao muda mrefu zaidi, lakini hakupenda.
ויבקשו ממנו להאריך ימי שבתו אתם ולא אבה׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
walivutiwa sana naye kwa vile alikuwa amewashangaza kwa uchawi wake kwa muda mrefu.
ויקשיבו אליו על היותו משמים אותם בכשפיו ימים רבים׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
basi, akamwuliza maswali mengi kwa muda mrefu, lakini yesu hakumjibu neno.
וירב לשאל אותו והוא לא השיב אתו דבר׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kisha ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonyesha falme zote za ulimwengu na fahari zake,
ויוסף השטן וישאהו אל הר גבה מאד ויראהו את כל ממלכות תבל וכבודן׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yuda na sila, ambao nao walikuwa manabii, walizungumza na hao ndugu kwa muda mrefu wakiwatia moyo na kuwaimarisha.
ויהודה וסילא אשר גם הם נביאים נחמו האחים בדברים רבים ויחזקום׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
baada ya siku sita, yesu aliwachukua petro, yakobo na yohane nduguye, akaenda nao peke yao juu ya mlima mrefu.
ומקץ ששת ימים לקח לו ישוע את פטרוס ואת יעקב ואת יוחנן אחיו ויעלם בדד על הר גבוה׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
basi, roho akanikumba, naye malaika akanipeleka juu ya mlima mrefu sana. akanionyesha mji mtakatifu, ukishuka kutoka kwa mungu mbinguni,
ויוליכני ברוח על הר גדול וגבה ויראני העיר הגדולה ירושלים הקדושה ירדת מן השמים מאת האלהים׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
zabibu zikakamuliwa ndani ya hilo shinikizo lililoko nje ya mji, na damu ikatoka katika shinikizo hilo mtiririko mrefu kiasi cha mita mia tatu na kina chake kiasi cha mita mia mbili.
ותדרך הגת מחוץ לעיר ויצא דם מן הגת עד רסני הסוסים דרך אלף ושש מאות ריס׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kwa tamaa yao mbaya watajipatia faida kwa kuwaambieni hadithi za uongo. lakini kwa muda mrefu sasa hakimu wao yu tayari, na mwangamizi wao yu macho!
ובדברי בדוי יעשו אתכם למחסר להם למען בצע בצע אשר משפטם מעולם לא יתמהמה ושברם לא ינום׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
naye alipomwona huyo mtu amelala hapo, akatambua kwamba alikuwa amekaa hapo kwa muda mrefu, akamwuliza, "je, wataka kupona?"
וירא אתו ישוע שכב וידע כי ארכו לו ימי חליו ויאמר אליו התחפץ להרפא׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
alipokuwa anashuka pwani, mtu mmoja aliyekuwa amepagawa na pepo alimjia kutoka mjini. kwa muda mrefu mtu huyo, hakuwa anavaa nguo, wala hakuwa anaishi nyumbani bali makaburini.
ויצא אל היבשה ויפגשהו איש מן העיר אשר שדים בו מימים רבים ובגד לא לבש ובבית לא ישב כי אם בקברים׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
wananifahamu kwa muda mrefu, na wanaweza kushuhudia, kama wakipenda, kwamba tangu mwanzo niliishi kama mmoja wa kikundi chenye siasa kali zaidi katika dini yetu, yaani kikundi cha mafarisayo.
כי מימים ראשונים ידעוני אם ירצו להעיד כי כפרוש התנהגתי על פי הכת המקפדת ביותר בעבודתנו׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
wale watu walikuwa wakitazamia kwamba angevimba au hapohapo angeanguka chini na kufa. baada ya kungojea kwa muda mrefu bila kuona kwamba paulo amepatwa na jambo lolote lisilo la kawaida, walibadilisha fikira zao juu yake, wakasema kuwa ni mungu.
והם הוחילו אשר יצבה גופו או אשר יפל מת פתאם ויחילו עד בוש והנה לא קרהו כל אסון ויהפך לבם ויאמרו כי אלהים הוא׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yesu akaendelea kuwaambia watu mfano huu: "mtu mmoja alilima shamba la mizabibu, akalikodisha kwa wakulima; kisha akasafiri hadi nchi ya mbali, akakaa huko kwa muda mrefu.
ויחל לדבר אל העם את המשל הזה איש אחד נטע כרם ויתן אתו אל כרמים וילך בדרך מרחוק לימים רבים׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
baada ya kukaa muda mrefu bila kula chakula, paulo alisimama kati yao, akasema, "waheshimiwa, ingalikuwa afadhali kama mngalinisikiliza na kuacha kusafiri kutoka krete. kama mngalifanya hivyo tungaliiepuka shida hii na hasara hizi zote.
ופולוס עמד בתוכם אחרי האריכם בצום ויאמר אנשים לו שמעתם אלי ולא יצאתם מקריטי כי אז לא קרנו הנזק הזה במריכם׃
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung