Ask Google

Results for charge for translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

They carry out surgical procedures free of charge for patients that need them in the countries they visit, in partnership with local hospitals.

Swahili

Walifanya upasuaji bure kwa wagonjwa waliokuwa na uhitaji katika nchi walizozuru, kwa ushirikiano na hospitali za wenyeji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

He is facing criminal charges for the song.

Swahili

Anakabiliwa na mashtaka ya jinai kwa wimbo huo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Hazzam was sentenced for “spreading false information harmful to the kingdom's image on human rights,” while Boukhou's sentence was for similar reasons and likely included a charge for providing a space for spreading those information.

Swahili

Hazzam alifungwa kwa kosa la kile kinachoitwa “Kueneza habari za uongo zinazochafua sura ya ufalme kuhusu masuala ya haki za binadamu,” wakati kwa Boukhou pia ilikuwa kwa sababu hizohizo na pengine ilihusisha pia kutoa nafasi ya kusambaza taarifa hizo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Immediately free all journalists in prison, including the remaining Zone 9 bloggers, and relieve them of all charges for the “crime” of reporting the news.

Swahili

Tunadai kuachiwa huru waandishi wote walioko gerezani, ikiwa ni pamoja na wanablogu wa Zone 9 waliobaki, na kufutiwa mashtaka yote ya kutenda 'jinai' kwa sababu tu ya kuandika habari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Today, after over a year in prison, he is facing trumped-up terrorism charges for being a true intellectual, and one who uses humor to communicate his critiques.

Swahili

Hadi wakati huu, takribani mwaka mmoja akiwa gerezani, Zola anakabiliwa na mashitaka ya kutengenezwa yanayomhusisha na ugaidi ati kwa kuwa tu ni mwanazuoni halisi atumiaye unyenyekevu wake katika ukosoaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK