Ask Google

Results for complicated translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

complicated

Swahili

ngumu

Last Update: 2014-12-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

The meaning of the word complicated

Swahili

maana ya neno complicated

Last Update: 2019-09-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

And the writer, Robert Draper gives a fair and sympathetic summary of a complicated history.

Swahili

Na mwandishi, Robert Draper anatoa muhtasari wa haki na wenye mguso kuhusu historia tata.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

@muradalhaiki: The more a political solution is delayed, the more complicated matters get and more difficult it is to solve them.

Swahili

@muradalhaiki: Kadri ufumbuzi wa kisiasa unavyozidi kucheleweshwa, na ndivyo masuala yanavyozidi kuwa magumu na ndivyo inavyozidi kuwa vigumu kuyatatua.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Numerous events are celebrating the anniversary all over France, though in a complicated context given the rapid rise of the far-right in France.

Swahili

Matukio mbalimbali yana adhimisha kumbukumbu ya miaka kote nchini Ufaransa, ingawa katika mazingira magumu kutokana na kupanda kwa kasi kwa mbali haki katika Ufaransa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

That is made more complicated by how our political parties have no established means of raising funds for their very survival, rendering the entire political arena a charade and a get-rich-quick scheme.

Swahili

Hali inafanywa kuwa ngumu zaidi na namna vyama vyetu vya kisiasa visivyo na njia imara za kuendesha harambee ya kuchangiwa fedha kwa ajili ya kuendesha shughuli zake, hali inayosababisha uwanja wote wa kisiasa kuwa vurugu na sehemu ya miradi kujipatia-utajiri-wa-haraka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

There were more than 200,000 orphans living in Port-au-Prince before all of this began, and however you feel about these issues- and they are complicated- none of this intervention is meant to undermine the integrity of the Haitian people or their desire to look after their own children.

Swahili

Kulikuwa na zaidi ya mayatima 200,000 walikokuwa wakiishi jijini Port-au-Prince kabla ya tukio hili la majuzi, na kwa vyovyote vile unavyoyachukulia mambo haya - na ni magumu - na hakuna hata uingiliaji kati mmoja unaopuuzia mshikamano wa watu wa Haiti au hamu yao ya kuwatunza watoto wao wenyewe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

While organizing a public vigil may sound like a rather simple idea to implement, there is very little tolerance for manifestations of public sentiment, even grief, in China's public space without a long and complicated process of securing official authorizations.

Swahili

Wakati kuandaa ibada hiyo ya wazi kulionekana kama ni wazo jepesi tu la kutekeleza, kwa mazingira ya China, ni kama hakuna uvumilivu wa aina yoyote kwa yeyote anayeonesha hisia hadharani, ikiwa ni pamoja na maombolezo, bila kulazimika kupitia mchakato mrefu na mgumu wa kupata idhini rasmi ya kiusalama.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK