Ask Google

Results for contamination translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

Lanzhou water contamination was one of the top three trending topics on Weibo as of Friday night.

Swahili

Uchavuzi wa maji kwa kemikali hatari huko Lanzhou imekuwa ni moja ya mada tatu zilizopewa kipau mbele katika mtandao wa Weibo siku ya Ijumaa usiku.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The contamination of drinking water and food sources, which leads to a slew of health risks.

Swahili

Uchafuzi wa maji ya kunywa na vyanzo vya chakula, jambo ambalo linapelekea hatari nyingi za kiafya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

A number of residents who spread the word of contamination back then were labeled as "rumour-mongers" and "dealt with" according to law.

Swahili

Raia kadhaa waliokuwa wakitoa taarifa za maji kuchanganyikana na kemikali hatari kwa kipindi hicho walijulikana kama "wavujisha tetesi" na "kushughulikiwa" kwa mujibu wa sheria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

An article published at mongabay.com exposes the destructive environment impact of mining in remote Indonesian towns.Some scholars fear that "parts of Indonesia now have the highest levels of mercury contamination on earth."

Swahili

Makala iliyochapishwa katika mtandao wa mongabay.com imefichua athari za uharibifu wa kimazingira ziazotokana na shughuli za uchimbaji madini katika maeneo ya vijiji nchini Indonesia. Baadhi ya wanazuoni wanahofia kwamba maeneo mengi nchini Indonesia yana kiwango cha juu kabisa cha zebaki duniani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK