Ask Google

Results for defense translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

Defense Minister

Swahili

waziri wa nidham

Last Update: 2016-08-01
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

He offered a veiled defense.

Swahili

Alitoa hoja za kujitetea kwa njia ya mzunguko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

She also described the manifesto as a defense of the status quo:

Swahili

Pia anaeleza kuwa ilani hiyo ina nia ya kulinda hali (ya uongozi) kama ilivyo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Hundred of civilians are feared dead, 81 confirmed so far by the Minister of Defense.

Swahili

Mamia wa raia wanahofiwa kupoteza maisha 81 wamethibitika kufa na Wizara ya Ulinzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

They will have no defense against God—as if their faces are covered with dark patches of night.

Swahili

Hawatakuwa na wa kuwalinda na Mwenyezi Mungu. Nyuso zao kama kwamba zimefunikwa na vipande vya usiku wa giza.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Edward, a friendly email bot, helps Email Self-Defense users test their new encryption systems.

Swahili

Edward, kitufe kidogo rahisi, huwasaidia watumiaji wa zana ya Kujilinda Barua pepe zao katika mfumo mpya wa kutunza faragha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

French Defense Minister Gérard Longuet reported to the French Senate Commission on Foreign Affairs on the morning of April 7, 2011.

Swahili

Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa Gérard Longuet aliiarifu Tume ya Mambo ya Nje ya Baraza la Seneti la Ufaransa asubuhi ya Aprili 7, 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

We hope translated versions of Email Self-Defense can be the entry into this multifaceted movement for people all around the world.

Swahili

Tunatumaini kuwa matoleo yaliyotafsiriwa ya Ulinzi Binafsi wa Barua pepe yanaweza kuwa mwanzo wa harakati zenye surra nyingi kwa watu wote duniani kote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

It says al-Khlifawi was a former colonel in the intelligence service of Saddam Hussein's air defense force.

Swahili

Inasema kwamba al-Khlifawi alikuwa kornel wa zamani kwenye kitengo cha ujasusi katika jeshi la ulinzi wa anga enzi za utawala wa Saddam Hussein.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Protests are contained, they say, in citizens attacking policemen, who retaliate in self-defense, goes the story.

Swahili

Imekuwa kawaida kusikia kauli kama, ‘waandamanaji wamedhibitiwa wakati wakiwashambulia polisi, ambao nao walijihami kwa kushambulia’ na kuendelea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Several digital rights international organizations sent the Mexican Congress a letter expressing international support for the defense of the freedom of expression and Internet freedom in Mexico.

Swahili

Mashirika kadhaa ya kimataifa ya haki za digitali zilitumia kongamano la Mexico barua kuonyesha msaada wa kimataifa kwa ajili ya kutetea uhuru wa kujieleza na uhuru kwenye mtandao nchini Mexico.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"Email Self-Defense is only one important piece of the solution to bulk surveillance," FSF states:

Swahili

"Ulinzi binafsi wa barua pepe ni sehemu muhimu ya utatuzi wa tatizo la kufuatiliwa mawasiliano," FSF linasema:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

I did an investigative report on this issue earlier on at work where the defense minister of Kenya firmly claimed Kenya had not given permission for this recruitment to take place.

Swahili

Nilifanya ripoti ya uchunguzi katika suala hili mapema kazini ambapo waziri wa ulinzi wa Kenya alidai kwa msimamo kwamba Kenya haikutoa ruhusa kwa mafunzo haya kufanyika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Mrisho Ngasa, who made life difficult for Simba's defense in the first half, celebrates opening the score for Yanga in the Dar Derby.

Swahili

Mrisho Ngasa, aliyeifanya kazi ya mabeki wa Simba kuwa ngumu katika kipindi cha kwanza, akishangilia bao lake la kwanza kwa Yanga katika mpambano wa Dar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Dr. Mostafa El Nagaar wrote in Amira's defense saying: Amira is now suffering the dire consequences of her professionalism and nobility.

Swahili

Dkt. Mostafa El Nagaar aliandika katika utetezi wa Amira akisema: Amira sasa anaathirika na matokeo ya utaaluma na uthamani wake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Given the above, could these young lads have thought (in their minds), that they were acting in self defense?

Swahili

Kwa hayo hapo juu, je hawa vijana hawa wangliweza kufikiri (katika akili zao) kuwa walifanya hivyo ili kujikinga wenyewe?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

And although Latipov says that the altercation was unprovoked from his side, the fact of his ethnicity was enough for Russian nationalists to assume that the two Russian men were acting in self-defense.

Swahili

Na ingawa Latipov anasema kwamba mabishano hayo hayakuanzia kwake, lakini ukweli kuwa rangi yao ilikuwa sababu tosha kwa Wahafidhina wa Kirusi kudhania kuwa wa-Rusi hao wawili walifanya hayo katika jitihada za kujilinda.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Gabriele Del Grande's blog fortresseurope.blogspot.com publishes information about Fortess Europe's activities for the defense of immigrant rights.

Swahili

Blogu ya Gabriele Del Grande, fortresseurope.blogspot.com , huchapisha taarifa kuhusu shughuli za 'Ngome ya Ulaya' kwa ajili ya utetezi wa haki za wahamiaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

When they reached the RTI's headquarters they were faced with resistance from Gagbo's Defense and Security Forces (FDS).

Swahili

Vikosi hivyo vilipofika kwenye makao makuu ya RTI vilikabiliana na upinzani mkali kutoka Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya FDS vinavyomuunga mkono Gbagbo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Amina's lawyers argued that she had the pepper spray for self-defense reasons, following the death threats she received last March, after she posted topless photographs of herself on Facebook.

Swahili

Wanasheria wa Amina walisema kwamba alikuwa na kifaa hicho kwa sababu ya kujilinda, kufuatia vitisho vya kuuawa alivyopata mwezi Machi, baada ya yeye kuwa ameweka picha inayomwonyesha bila nguo kifuani kwenye mtandao wa Facebook.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK