Ask Google

Results for downtown shoppers translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

Flood in the old downtown of Manila.

Swahili

Mafuriko katika jiji la zamani la Manila.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

I decided to go downtown although they struck a market in Gaza.

Swahili

Niliamua kwenda mjini japokuwa walikwisha shambulia soko moja mjini Gaza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The political gathering took place in downtown Antananarivo around noon local time.

Swahili

Mkutano huo wa kisiasa ulifanyika katikati ya Mji wa Antananarivo majira ya mchana, saa za Madagaska.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

You can smell the dead people in the downtown area where much damage occurred.

Swahili

Unaweza kusikia harufu mbaya za maiti waliokufa katika eneo la katikati ya mji ambapo kulikuwa na uharibifu mkubwa zaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Police Sta, Cathedral, Downtown teleco, Church St Anne all destroyed".

Swahili

Mara baada ya saa 1 jioni kwa saa za Haiti, Morse aliandika kwamba:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

Some still hold hope for appeasement though, like the Iman of the downtown mosque :

Swahili

Baadhi bado kushikilia tumaini kwa upatanisho angalau, kama Iman wa msikiti wa mji wa chini :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

In Australia, the pandemic provided a new opportunity for daigou shoppers to sell Australian products into China.

Swahili

Nchini Australia, janga hili kubwa lilitoa fursa mpya kwa wauzaji wa bidhaa nje ya nchi kuuza bidhaa kutoka Australia nchini China.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Reporting from Tahrir Square, the epicentre of the Egyptian revolution in downtown Cairo, reports:

Swahili

Akitaarifu kutokea uwanja wa Tahrir Square, ambapo ndipo palipo na kiini cha mapinduzi ya Misri katika mji wa kibiashara wa Cairo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

another aftershock..a little longer..much screaming downtown..this is going to be a long night

Swahili

tetemeko jingine dogo.. limechukua muda mrefu zaidi.. mayowe mengi mjini.. huu utakuwa usiku mrefu

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Our apartment was at the bottom of Kasubi Hill, and we passed the Tombs every day to and from downtown Kampala.

Swahili

Nyumba yetu ilikuwa chini ya bonde la kasubi, tuliyapita Makaburi hayo kila siku tukienda na kurudi kutoka Kampala mjini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The attack took place around midnight in a restaurant called La Terrasse in Downtown Bamako and a dozen people are seriously injured.

Swahili

Shambulio hilo lilifanyika usiku wa maneno kwenye mkahawa unaoitwa took Terrasse kwenye mitaa ya Bamako na watu zaidi ya kumi wamejeruhiwa vibaya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Four people were detained as protesters in downtown Sofia clashed with police who tried to cut the rally heading for the headquarters of power utility company CEZ.

Swahili

Watu wanne walishikiliwa pale waandamanaji katikati ya jiji la Sofia walipokabiliana na polisi walipofurika jijini Sofia kujaribu kuzuia waandamanaji waliokuwa wanaelekea makao makuu ya Shirika la Nishati la Umma la CEZ.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Commuters travelling from the outskirts of the city to the main downtown had to walk two-three kilometres to reach their destination due to the closed roads.

Swahili

Wasafiri kutoka nje ya jiji waliokuwa wanaingia mjini walilazimika kutembea umbali wa kilometa mbili hadi tatu ili kufika walikokuwa wakienda kwa sababu barabara zote zilikuwa zimefungwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Hundreds of people gathered on Sunday afternoon in a downtown park in Skopje to exchange stickers of the official Football FIFA World Cup album on April 28, 2014.

Swahili

Mamia ya watu walikusanyika mchana wa Jumapili kwenye eneo la wazi jijini Skopje kubadilishana 'stika' za mkusanyiko rasmi wa picha za Kombe la Dunia la FIFA tarehe 28 Aprili, 2014.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Two days later, the Downtown Cairo prosecutor issued an arrest warrant for the channel's news director Abdel Fattah Fayed.

Swahili

Siku mbili baadae mwendesha mashitaka wa eneo la Downtown jijini Cairo alitoa hati ya kukamatwa kwa mkurugenzi wa habari wa kituo hicho Abdel Fattah Fayed.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

On April 5, 2011, in Douala, the economic capital of Cameroon, Moto Taxi drivers gathered downtown in order to show their support to Laurent Gbagbo.

Swahili

Siku ya April 5, 2011, mjini Douala, mji mkuu wa kibiashara wa Kameruni, Madereva wa Moto Taxi walikusanyika katikati ya mji kwa minajili ya kuonesha wanavyomwuunga mkono Laurent Gbagbo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

...I saw another man with an apple cart outside of a white person store in downtown Yaounde (that was mistake one, trying outside a white person store).

Swahili

…Nilimuona mtu mwingine akiwa na mkokoteni wa matofaa nje ya duka la mzungu kwenye mtaa mwingine mjini Yaounde (hilo lilikuwa kosa la kwanza, kujaribu nje ya duka la mzungu).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

On this year's International Women's Day, March 8, 2012, a rather unconventional protest was held in downtown Seoul, South Korea.

Swahili

Katika siku ya wanawake duniani mwaka huu, mnamo Machi 8, 2012, kuna maandamano yaliyofanyika katika jiji la Seoul, Korea Kusini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Shopping mall operators around the world imposed additional measures, such increased sanitation, installation of thermal scanners to check the temperature of shoppers, and cancellation of events.According to a United Nations Economic Commission for Latin America estimate, the pandemic-induced recession could leave between 14 and 22 million more people in extreme poverty in Latin America than would have been in that situation without the pandemic.

Swahili

Waendeshaji maduka makubwa kote duniani waliweka hatua zaidi, kama vile kuongeza hali ya usafi, kuweka vidude vya kutathmini hali ya joto kupima hali ya joto ya wanunuzi, na kufuta matukio.Kulingana na Tume ya Kiuchumi ya Umoja wa Mataifa kwa kadirio ya Marekani ya Kilatini, kushuka kwa uchumi kufuatia janga huenda ikawacha watu kati ya milioni 14 hadi 22 zaidi katika umaskini uliokithiri Marekani ya Kilatini kuliko vile ingekuwa katika hali hiyo bila janga.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Al Jazeera, which provided blanket live coverage of the Egyptian revolution from its epi-centre in Tahrir Square in downtown Cairo, has been credited with 'exporting' the revolution spark to the living rooms of homes across the Arab world.

Swahili

Al Jazeera, ambayo ilirusha habari za moja kwa moja katika kipindi cha mapinduzi ya Misri kutokea katika kituo chake kidogo kilichokuwepo karibu na viwanja vya Tahrir mjini Cairo, ilisifika sana kwa kuzifikisha ‘cheche’ za mapinduzi katika sebule zote za nchi za kiarabu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK