Ask Google

Results for estimate translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

Bounty mother I can estimate

Swahili

fadhila za mama kukadiria siwezi

Last Update: 2017-02-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

No just estimate have they made of God.

Swahili

Hawakumuadhimisha Mwenyezi Mungu anavyo stahiki kuadhimishwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

How evil is their estimate of Allah!

Swahili

Tazama uovu wa wanavyo hukumu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

They have not formed a true estimate of Allah.

Swahili

Hawakumuadhimisha Mwenyezi Mungu anavyo stahiki kuadhimishwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

No just estimate have they made of God, such as is due to Him.

Swahili

Na wala hawakumhishimu Mwenyezi Mungu kama anavyo stahiki kadiri yake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

They made not a just estimate of Allah such as is due to Him.

Swahili

Na wala hawakumhishimu Mwenyezi Mungu kama anavyo stahiki kadiri yake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

They have not estimated Allah His rightful estimate; verily Allah is strong, Mighty!

Swahili

Hawakumuadhimisha Mwenyezi Mungu anavyo stahiki kuadhimishwa. Hakika Mwenyezi Mungu bila ya shaka ni Mwenye kushinda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Iblis found his estimate of them to be true, and they followed him, except a party of the believers.

Swahili

Na bila ya shaka Iblisi alihakikisha ile dhana yake juu yao. Nao walimfuata, isipo kuwa kundi la Waumini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

No just estimate have they made of Allah: for Allah is He Who is strong and able to Carry out His Will.

Swahili

Hawakumuadhimisha Mwenyezi Mungu anavyo stahiki kuadhimishwa. Hakika Mwenyezi Mungu bila ya shaka ni Mwenye kushinda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

They did not form any proper estimate of Allah when they said: 'Allah has not revealed anything to any man.'

Swahili

Na hawakumkadiria Mwenyezi Mungu kwa haki ya kadri yake, walipo sema: Mwenyezi Mungu hakumteremshia mwanaadamu chochote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

They do not make a just estimate of God, when they say, "God has not revealed anything to any human being."

Swahili

Na hawakumkadiria Mwenyezi Mungu kwa haki ya kadri yake, walipo sema: Mwenyezi Mungu hakumteremshia mwanaadamu chochote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

They have not estimated Allah His Rightful Estimate; Verily, Allah is All-Strong, All-Mighty.

Swahili

Hawakumuadhimisha Mwenyezi Mungu anavyo stahiki kuadhimishwa. Hakika Mwenyezi Mungu bila ya shaka ni Mwenye kushinda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

A 2006 census claimed that almost a million Egyptians suffered some sort of disability, yet dedicated NGOs and international organizations estimate these to be at least 8.5 million.

Swahili

Sensa ya 2006 ilionyesha kuwa karibu Wamisri milioni walikuwa na aina fulani ya ulemavu, lakini mashirika yasiyo ya kiserikali yenye ari na mashirika ya kimataifa yanakadiria kuwa idadi yao haipungui milioni 8.5.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

We know well what they will say to one another: We also know that even the most cautious in his estimate will say: "You lived in the world no more than a day."

Swahili

Sisi tunajua zaidi watakayo yasema, atakapo sema mbora wao katika mwendo: Nyinyi hamkukaa ila siku moja tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

According to some estimates (fr) only 20% of Cameroon’s population has a regular access to electricity supplies.

Swahili

Kwa mujibu wa makadirio (fr) yasiyorasmi, ni asilimia 20 tu ya idadi ya wa-Cameroon wameunganishwa na umeme.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

According to some estimates as many as 500,000 people are at Shahbag.

Swahili

Inakadiriwa kuwa zaidi ya watu 500,000 wamekusanyika huko Shahbag.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

According to some estimates, hundreds of thousands are directly and indirectly affected every time road blocks are put up for the security of very important people or VIPs in Quetta, a city home to about 1 million.

Swahili

Kwa mujibu wa makadirio, mamia ya maelefu ya raia wanaathirika moja kwa moja au kwa namna moja au nyingine kila barabara zinapofungwa kwa sababu za usalama wa watu maarufu wanapozuru Quetta, jiji lenye wakazi milioni 1.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Despite the big-name support and the success of "Difret," Ashenafi and Mandrefo say their work is not done: they estimate that at least 20 percent of marriages in the south of Ethiopia are coerced through some form of telefa.

Swahili

Pamoja na kupata msaada wa watu maarufu na mafanikio ya filamu ya "Difret," Ashenafi na Mandrefo wanasema kazi yao bado haijakamilika: wanakadiria kwamba si chini ya asilimia 20 ya ndoa kusini mwa Athiopia zinatokana na mila inayofanana na telefa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

Estimate by the World Bank report suggests that twenty –forty percent (20 – 40% ) of water sector finances are being lost to dishonest practices.

Swahili

Makadirio ya ripoti ya Benki ya Dunia inaonyesha kwamba asilimia (20 - 40%) ya fedha za sekta ya maji zinapotea kupitia mazoea ya udanganyifu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Estimates put the number of those killed between 90 to 300 people in the attack on the town, which rebels say they have recently liberated from Assad forces.

Swahili

Inakadiriwa kwamba watu waliouawa katika shambulio hilo mjini humo ni kati ya 90 na 300, waasi wakisema kuwa watu hao walikuwa wamejitenga na vikosi vya Assad.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK