From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
exceeding
exceeding
Last Update: 2016-03-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and ye love riches with exceeding love.
na mnapenda mali pendo la kupita kiasi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nay, you are a people exceeding limits.
ama kweli nyinyi ni watu mnao ruka mipaka!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
when they saw the star, they rejoiced with exceeding great joy.
walipoiona hiyo nyota, walifurahi mno.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hi poetry is short and precise with most not exceeding 10 lines.
ushairi wake ni mfupi na wenye ujumbe mahsusi wenye mistari isiyozidi 10.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and the people of noah before -- certainly they did exceeding evil, and were insolent
na kabla yao kaumu ya nuhu. na hao hakika walikuwa ni madhaalimu zaidi, na waovu zaidi;
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and the grace of our lord was exceeding abundant with faith and love which is in christ jesus.
lakini bwana wetu alinijalia neema yake kwa wingi, akanipa imani na upendo katika kuungana na kristo yesu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
he singles out for his mercy whoever he pleases. god is the lord of exceeding bounty."
yeye humchagua kumpa rehema zake amtakaye; na mwenyezi mungu ndiye mwenye fadhila kubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
who hath made everything exceeding good which he hath created. and he originated the creation of man from clay;
ambaye ametengeneza vizuri umbo la kila kitu; na akaanzisha kumuumba mtu kwa udongo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and they were exceeding sorrowful, and began every one of them to say unto him, lord, is it i?
wanafunzi wakahuzunika sana, wakaanza kuuliza mmojammoja, "bwana! je, ni mimi?"
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and do not abuse those whom they call upon besides allah, lest exceeding the limits they should abuse allah out of ignorance.
wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya mwenyezi mungu, wasije na wao wakamtukana mwenyezi mungu kwa jeuri bila ya kujua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and they disobeyed the messenger of their lord, so he seized them with a seizure exceeding [in severity].
wakamuasi mtume wa mola wao mlezi, ndipo yeye mola akawakamata kwa mkamato ulio zidi nguvu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but if anyone is forced by necessity, being neither disobedient nor exceeding the limit, then surely your lord is most forgiving and merciful.
lakini mwenye kushikwa na dharura, bila ya kutamani wala kupita mipaka, basi hakika mola wako mlezi ni mwenye kusamehe, mwenye kurehemu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and you will see many of them striving with one another to hasten in sin and exceeding the limits, and their eating of what is unlawfully acquired; certainly evil is that which they do.
na utawaona wengi katika wao wanakimbilia kwenye dhambi, na uadui, na ulaji wao vya haramu. ni maovu mno hayo wayatendayo!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
whereby are given unto us exceeding great and precious promises: that by these ye might be partakers of the divine nature, having escaped the corruption that is in the world through lust.
kwa namna hiyo ametujalia zawadi kuu na za thamani ambazo alituahidia, ili kwa zawadi hizo mpate kuziepa kabisa tamaa mbaya zilizomo duniani, na mpate kuishiriki hali yake ya kimungu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and when he was come to the other side into the country of the gergesenes, there met him two possessed with devils, coming out of the tombs, exceeding fierce, so that no man might pass by that way.
yesu alifika katika nchi ya wagerasi, ng'ambo ya ziwa, na huko watu wawili waliopagawa na pepo wakakutana naye wakitokea makaburini. watu hawa walikuwa wenye kutisha mno, hata hakuna mtu aliyethubutu kupita katika njia hiyo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but whosoever is constrained to it by necessity - neither desiring to disobey nor exceeding the limit of necessity - your lord is surely allforgiving, all-compassionate.
lakini mwenye kushikwa na dharura, bila ya kutamani wala kupita mipaka, basi hakika mola wako mlezi ni mwenye kusamehe, mwenye kurehemu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and endure thy self in the company of those who call upon their lord in the morning and evening seeking his and let not thine eyes countenance rove from them seeking the adornment of the life of this world, and obey thou not him whose heart we have made to neglect our remembrance, and who followeth his lust, and whose affair is exceeding the bound.
na isubirishe nafsi yako pamoja na wanao muomba mola wao mlezi asubuhi na jioni, hali ya kuwa wanataka radhi yake. wala macho yako yasiwaruke kwa kutaka pambo la maisha ya dunia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
was then that which is good made death unto me? god forbid. but sin, that it might appear sin, working death in me by that which is good; that sin by the commandment might become exceeding sinful.
je, hii inamaanisha kwamba kile kilicho kizuri kimesababisha kifo changu? hata kidogo! iliyo ni kwamba, dhambi, ili ionekane dhahiri kuwa ni dhambi, imekitumia kile kilicho kizuri na kusababisha kifo changu. hivyo dhambi, kwa njia ya ile amri, ilijionyesha kikamilifu jinsi ilivyo mbaya mno.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: