Ask Google

Results for inequality translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

If I say inequality, you say…?

Swahili

Nikisema kutokuwepo usawa, wewe unasema…?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The word inequality may bring many associations.

Swahili

Neno kutokuwepo usawa linaweza kufananishwa na mengi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Tell the world what inequality means to you.

Swahili

Tumia fursa ya kuiambia dunia mtazamo wako kuhusu dhana ya kutokuwepo usawa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Revenue inequality in African towns via French documentation - Public domain

Swahili

Kutokuwepo kwa usawa wa kimapato katika miji ya Afrika kupitia taarifa ya Ufransa -Picha kwa matumizi ya umma

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Social inequality is creating deep rifts among Malawians, a ticking time bomb.

Swahili

Kutokuwepo kwa usawa wa kijamii kunajenga ufa mkubwa miongoni mwa Wamalawi, jambo ambalo ni bomu linalosubiri kulipuka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

On Twitter, keep an eye on the hashtags #Blogaction14, #Inequality, #Oct16.

Swahili

Kwenye mtandao wa Twita, fuatilia alama habari zifuatazo #Blogaction14, #Inequality, #Oct16.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

At a a local level, efforts are often not made to understand the exact circumstances that lead to growing inequality.

Swahili

Katika ngazi za chini kabisa, mara nyingi juhudi hazifanyiki kuelewa hali mahususi zinazosababisha kukua kwa hali hii ya kutokuwepo kwa usawa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

This stems from a distant colonial past and continued persistent inequality, where entrenched elite interests have maintained themselves.

Swahili

Jambo hili linatokea katika historia ya ukoloni huko nyuma pamoja na ukosefu wa usawa usiokwisha, ambao kwao maslahi ya viongozi yanaendelea kujidumisha

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Despite some undeniable economic progress in many African nations, social inequality is still even more striking on the African continent.

Swahili

Bila kujali maendeleo yasiyopingika katika nyingi ya nchi za kiAfrika, ukosefu wa usawa wa kijamii bado unaendelea kustua barani Afrika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Express your view and experiences in your blog, and let’s stand together in discussing inequality in all its forms.

Swahili

Toa maoni yako na uzoefu wako kwenye blogu yako, na tusimame pamoja kujadili kila aina ya hali za kutokuwepo kwa usawa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Unless we address the fundamental causes of the deep inequality ripping Malawian society apart, we should brace ourselves for more cashgates.

Swahili

Tusiposhughulikia sababu za msingi za kukosekana kwa usawa inayoigawa mno jamii ya Malawi, tujiandae kwa matatizo zaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The increasing incidents of mass violence and vandalism we are witnessing across the country daily are but a tiny ripple in the sea of resentment resulting from this inequality.

Swahili

Kuongezeka kwa matukio ya matumizi ya nguvu na uharibifu tunaoshuhudia nchi kote kila siku ni tone dogo katika bahari ya hasira na chuki inayotokana na kukosekana kwa usawa huu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Sexual inequality in Burkina Faso has been identified as a significant barrier to development, as studies have shown that the participation of women in the active life of a country has a considerable impact on its development.

Swahili

Kutokuwepo kwa usawa wa kimapendi nchini Burkina Faso umefahamika kuwa kizuizi kikubwa cha maendeleo, kama tafiti zinavyoonyesha kuwa ushiriki wa wanawake katika harakati za kimaisha nchini ambazo zina athari kubwa katika maendeleo ya nchi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

They include growing inequality in the especially invidious form of ethnic stratification Diversity has also been associated with reduced democracy, slowed economic growth, falling social cohesion and foreign aid, as well as rising corruption and risk of civil conflict

Swahili

Yanayojumuisha ongezeko la ukosefu wa usawa hasa kwenye namna ya ubaguzi wa matabaka yanayotokana na asili za watu Utofauti pia umehusishwa na kupungua kwa demokrasia, kuzorota kwa uchumi, kuporomoka kwa mshikamano wa kijamii na misaada kutoka nje, vile vile ongezeko la ufisadi pamoja hatari ya migogoro ya kiraia

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Ultimately, the best way for us to work toward achieving the ultimate colorblind ideal is to recognize, accept, and understand that racial distinctions still matter and that they are still the basis for continuing discrimination and inequality in American society today.

Swahili

Hatimaye, njia yetu bora zaidi katika kufikia njozi ya kutoona rangi za wengine ni kwa kutambua, kukubali, na kuelewa kuwa utofauti wa rangi bado upo na kwamba ubaguzi huo bado ni msingi unaoendeleza ubaguzi na ukosefu wa usawa katika jamii ya Kimarekani leo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Inequality could refer to healthcare inequality, economic inequality, global inequality, educational inequality, racial inequality, gender inequality, social inequality, and many more unequal constellations.

Swahili

Kutokuwepo kwa usawa kunaweza kumaanisha kutokuwepo kwa usawa kwenye huduma za afya, ubaguzi wa rangi, jinsia, masuala ya kijamii, na dhana nyinginezo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Almost a third of countries in the region are growing at 6% and more, and African countries are now routinely among the fastest-growing countries in the world notes that poverty and inequality remain “unacceptably high and the pace of reduction unacceptably slow.”

Swahili

Takribani theluthi ya nchi zilizo kwenye eneo hilo zina uchumi unaokua kwa asilimia 6 na zaidi, na nchi za Afrika hivi sasa zimekuwa kati ya nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi duniani inabainisha kuwa umasikini na hali ya kutokuwepo usawa vinabaki kuwa “juu isipokubalika wakati kasi ya kupungua pengo hilo ni dogo mno.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

As long as there is injustice, as long as the profound inequalities between the urban and the rural remain, the indigenous movement will continue."

Swahili

Bora kuna ukosefu wa haki, na kuwepo kwa tofauti kubwa kati ya mijini na vijijini kubaki, harakati ya kiasili itaendelea."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

Chile: Earthquake Reveals Social Inequalities · Global Voices

Swahili

Chile: Tetemeko la Ardhi Lafichua Ukosefu wa usawa Katika Jamii

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Denis Cogneau, responsible for research at the Institute of Research for Development (IRD), explains that these inequalities in Africa have a well-defined historical origin :

Swahili

Denis Cogneau, anayehusika kwa utafiti katika Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo (IRD), anaeleza kuwa hali hii ya kutokuwepo usawa barani Afrika ina asili ya kihistoria inayoelezeka :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK