Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
zainab al khawaja is once again in prison.
zainab al khawaja ameswekwa jela kwa mara nyingine.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
bahraini human rights activist maryam al khawaja says:
mwanaharakati wa haki za binadamu wa bahraini maryam al khawaja anasema:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in this episode of gv face, we speak to maryam al khawaja.
katika toleo hili la gv face, tunazungumza na maryam al khawaja.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
we talk to maryam al khawaja about the role sectarianism plays in bahrain and how that affects the movement.
tunazungumza na maryam al khawaja kuhusu namna imani za kidini zinavyoathiri harakati hizo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
prominent human rights activist abdul hadi al khawaja is currently in prison, serving a life sentence for his role in the protests.
mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu abdul hadi al khawaja kwa sasa anatumikia kifungo cha maisha jela kwa kuhusika na maandamano hayo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
join us on october 21, tuesday, for a conversation with zainab's sister maryam al khawaja about the arrest and the state of activism and protest in bahrain, on our hangout series gv face.
unagna nasi siku ya oktoba 21, jumanne, kwa majadiliano na dada yake zainab anayeitwa maryam al khawaja kuhusu kukamatwa kwa dada yake na hali ya harakati na upinzani nchini bahrain kwenye mfululizo wa mazungumzo yetu ya gv.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the al khawaja family has found itself at the forefront of protests in bahrain, ever since the so-called arab spring made its way to the tiny island- kingdom on february 14, 2011.
familia ya al khawaja imejikuta ikiwa msitari wa mbele kwenye maandamano ya bahrain, tangu wakati way ale yaliyoitwa mapinduzi ya uarabuni yalipoingia kwenye kisiwa hicho cha ufalme mnamo febrari 14, 2011.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
turning to social media, his daughters maryam, aged 27, and zainab al khawaja, aged 31, became vocal on twitter, sharing their story and what was happening in their country to thousands of followers across the world.
wakitumia mitandao ya kijamii, mabinti zake maryam, mwenye umri wa miaka 27, na zainab al khawaja, mwenye miaka 31, wamepiga kelele kwenye mtandao wa twita, wakisambaza habari za yale yanayoendelea nchini humo kwa maelfu ya wafuasi wao duniani kote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: