From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
let's go and eat
twende tukale
Last Update: 2019-11-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
let's go and do it
twende tukafanye mapenzi
Last Update: 2022-10-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in much of the world, nothing is more unifying - or in some instances, more polarizing - than a football match.
katika sehemu nyingi duniani, hakuna linalounganisha zaidi – au wakati mwingine kutenganisha – zaidi ya pambano la mpira wa miguu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lets go and pray to the house of my master
simbalelu twende kulumba lose bwana begu
Last Update: 2020-02-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but recently i started monitoring my old team's progress again and last sunday, after a long hiatus, i decided to go and watch the latest meeting between the old arch-rivals.
lakini siku za karibuni nimeanza kufuatilia maendeleo ya timu yangu ya kale na tena jumapili iliyopita baada ya kukosekana kwa muda mrefu, niliamua kwenda kutazama mechi hii ya watani wa jadi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
because they are fighting african union troops in somalia, who have stopped them from establishing an islamic state under sharia law. ....what i see are country mates, human beings who were doing nothing worse than watching a football match who were killed and maimed, in the name of ideals that they may have no real thought about, actions that they cannot control in the least.
wanafurahi kwa sababu wanapambana na vikosi vya umoja wa afrika nchini somali, vikosi hivyo vimewazuria wapiganaji hao kuanzisha dola la kiislamu lenye kuongozwa na sharia ya kiislamu. ….ninachokiona ni raia wenzangu, binadamu ambao kikubwa walichokuwa wanakifanya ni kutazama mechi ya kandanda ambapo wengi wao wameuawa na wengine kujeruhiwa, wamefanyiwa hivyo kwa fikra na njozi ambazo pengine wala hawakuwahi kuziwazia, yaani vitendo ambavyo wala hawawezi kuvitawala au kuwa na ushawishi navyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: