Ask Google

Results for marking translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

marking here

Swahili

akumaka muno

Last Update: 2020-08-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

marking scheme

Swahili

mpango wa kuashiria

Last Update: 2019-10-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

The (indelible) marking of Allah. And who marks better than Allah!

Swahili

Huko ndiko kupaka rangi kwa Mwenyezi Mungu, na nani aliye mbora wa kupaka rangi kuliko Mwenyezi Mungu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Street corners sprout flagpoles carrying the teams' logos, marking a neighbourhood's affiliation.

Swahili

Kila kona za mitaa utaona bendera zikiwa na nembo za timu husika, ilimradi tu kuwachanganya wapizani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

During the gathering the “Stop Police Brutality” Movement will hold a press conference to present activities marking its second anniversary.

Swahili

Wakati wa kusanyiko hilo Vuguvugu la "Kuzuia ukatili wa polisi" litafanya mkutano na waandishi kuwasilisha ratiba ya shughuli za maadhimisho yake ya pili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

And in marking the probable end of the political career of the 77 year-old leader of the Malawi Congress Party (MCP), John Tembo, these elections also ended the era of the nationalist generation that has ruled Malawi since 1964, a point also made by Paul Tiyambe Zeleza.

Swahili

Na pia kuhusu uwezekano wa mwisho wa shughuli za kisiasa kwa kiongozi wa chama cha Malawi Congress Party (MCP) mwenye umri wa miaka 77, Bwana John Tembo, uchaguzi huu pia ulihitimisha zama za viongozi wa kiuzalendo ambao wametawala Malawi kuanzia mwaka 1964, jambo ambalo Paul Tiyambe Zeleza pia ameling’amua.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

China has detained prominent rights lawyer Pu Zhiqiang on the charge of “causing a disturbance,” what is seen as an attempt to deter activists from marking the upcoming 25th anniversary of the crackdown on pro-democracy protests in Tiananmen Square.

Swahili

China imemweka kizuizini mwanasheria maarufu mtetezi wa haki za binadamu Pu Zhiqiang ikimtuhumu 'kusababisha usumbufu,' kwa kile kinachoonekana kuwa jaribio la kuhamisha mawazo ya wanaharakati ili wasilipe uzito tukio la maandamano ya 25 ya kudai demokrasia ilivyominywa kwa muda mrefu kwenye Viwanja vya Tiananmen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

O you who have believed, do not violate the rites of Allah or [the sanctity of] the sacred month or [neglect the marking of] the sacrificial animals and garlanding [them] or [violate the safety of] those coming to the Sacred House seeking bounty from their Lord and [His] approval.

Swahili

Enyi mlio amini! Msivunje hishima ya alama ya Dini ya Mwenyezi Mungu wala mwezi mtakatifu, wala wanyama wanao pelekwa Makka kuchinjwa, wala vigwe vyao, wala wanao elekea kwendea Nyumba Takatifu, wakitafuta fadhila na radhi za Mola wao Mlezi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK