Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
let the police & rescue teams do their work. #moiavenueblast
waache polisi na timu za uokoaji kufanya kazi zao. #moiavenueblast
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
@cobbo3: dangerous for pple to gather on moi & kimathi st after #moiavenueblast.
@cobbo3: ni hatari kwa watu kukusanyika kwenye mtaa wa moi na kimathi baada ya mlipuko huo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
@icabway: #moiavenueblast reminds us why fire hydrant installation must be enforced in this troubled age.
@icabway: #moiavenueblast tukio hili linatukumbusha ulazima wa kuwa na mfumo unaoaminika wa maji yakuzimia moto katika kizazi hiki chenye matatizo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
on twitter, netizens use the hashtaga #nairobiblast and #moiavenueblast to discuss the tragedy and share information.
kwenye mtandao wa twita, watumiaji wamekuwa wakijadili tukio hilo na kubadilishana taarifa kupitia alama ya #nairobiblast na #moiavenueblast.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@misteralbie: again our lack of proper disaster awareness and preparedness bites us in our behinds. #firehydrants etc #moiavenueblast
@misteralbie: kwa mara nyingine tabia yetu ya kutokuwa na ufahamu sahihi na maandalizi dhidi ya matukio kama haya yanatugharimu #firehydrants #moiavenueblast
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@arybastacks: i don't know why police are still allowing people along the whole moi av. stretch... what if there is a second blast? #moiavenueblast
@arybastacks: sijui kwa nini polisi bado wanaruhusu watu kwenda eneo la tukio...itakuwaje kama kuna mlipuko mwingine?#moiavenueblast
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: