Results for nepalese translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

globalwarming arclein, a blog on how agriculture can help reduce carbon emission, says that the low tech approach of biogas makes it accessible to the majority of nepalese people who live in villages:

Swahili

globalwarming arclein, blogu inayoandika kuhusu jinsi kilimo kinavyoweza kusaidia kupunguza gesi ya ukaa, inasema kwamba teknolojia ya hali ya chini ya gesi inayotokana na samadi inasababisha gesi hiyo kuwafikia wanepali walio wengi ambao wanaishi vijijini:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

preparations for the 2022 world cup in qatar have already been marred by reports of as many as 400 nepalese and 700 indian construction workers dying in conditions that can approach 122 degrees fahrenheit (50 degrees celsius).

Swahili

maandalizi kwa ajili ya mashindano ya kombe la dunia mwaka 2022 huko qatar tayari yameingia dosari kufuatia taarifa za kufa kwa wafanyakazi wa ujenzi 400 wa nepal na 700 wa kihindi katika hali ya hewa inayokaribia nyuzi 122 za fahrenheit (nyuzi 50 celsius).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,919,952,497 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK