Results for okay, me i want what do we do translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

what do we do

Swahili

tunachofanya

Last Update: 2020-01-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

what do we do during the day?

Swahili

je! tunafanya nini wakati wa mchana?

Last Update: 2020-01-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

what, do we then not die

Swahili

je! sisi hatutakufa,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as usual we have shouted wolf and what do we end up with?

Swahili

kama ilivyo kawaida tumempigia kelele mbwa mwitu. je, nini tutaishia nacho?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

if we do not have pity for ourselves, what we do we expect of enemies?

Swahili

kama hatuwezi kujihurumia, labda cha kufanya ni kutegemea maadui?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

ahmed at vijanafm asks, "tanzania at 50 what do we have to show for it?":

Swahili

ahmed wa vijanafm anauliza, “tanzania kwenye miaka 50 tuna nini cha kuonyesha?”:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

if we do, we are indeed astray, and insane!”

Swahili

basi hivyo sisi tutakuwa katika upotofu na kichaa!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

whatever we do, we should do it because we believe in it and that it is for humanity and not for personal glory.

Swahili

kwa chochote tunachofanya, tukifanye kwa sababu tunaamini katika kitu hicho, na kwamba ni kwa ajili binadamu wenzetu na wala si kwa ajili ya kujitafutia utukufu binafsi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i want my children and the children of all the people i work with as head of tenaganita to enjoy and live in a society that is peaceful, where we do not fear state violence.

Swahili

nataka watoto wangu na watoto wa watu wote ninaofanya kazi nao kama kiongozi wa tenaganita kufurahia na kuishi katika jamii iliyo na amani, ambapo hatuogopi misukosuko inayosababishwa na dola.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

then gathered the chief priests and the pharisees a council, and said, what do we? for this man doeth many miracles.

Swahili

kwa hiyo makuhani wakuu na mafarisayo wakafanya kikao cha baraza kuu, wakasema, "tufanye nini? mtu huyu anafanya ishara nyingi mno.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

so make l for no crase finish l ask simple questions like, “so what do you think we should do” what is within our own control immediately and how do we build on that?

Swahili

kwa hiyo sitaki kuhitimisha kwa kukakakaka ninauliza maswali rahisi kama vile, “kwa hiyo unafikiri tufanyeje” kile kilichopo kwenye uwezo wetu na kwa namna gani tutaweza kuendeleza kutokea hapo?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as for me, i don't want a last name to last, nor a check every two weeks, my part has to be present, decisive and i want my child to have at least on only nice memory in their heart, as salsa and the scent of recently trimmed off grass on sundays at home.

Swahili

kwangu, nisingependa jina la mwisho liishie, wala kuwachungulia kila baada ya majuma mawili, napaswa kuwepo, kuamua, na ninataka watoto wangu wawe na angalau kumbukumbu moja nzuri akilini mwao, kama mwanangu salsa anavyokumbuka harufu nzuri ya majani yanapokuwa yamekatwa siku za jumapili nyumbani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

@sehartariq : why do we feel more sympathy for muslims in gaza than we do for muslims in #pakistan with whom we share history & citizenship #shiagenocide

Swahili

@sehartariq : kwa nini tunawaonea huruma waislamu wa gaza kuliko waislamu wa #pakistan ambao tuna historia moja na vinasaba vinayofanana; uraia #mauaji ya halaiki ya shia

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

say: we believe in allah and what has been revealed to us, and what was revealed to ibrahim and ismail and ishaq and yaqoub and the tribes, and what was given to musa and isa and to the prophets from their lord; we do not make any distinction between any of them, and to him do we submit.

Swahili

sema: tumemuamini mwenyezi mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa ibrahim, na ismail, na is-haak na yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa musa na isa na manabii wengine kutoka kwa mola wao mlezi. hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

@katebomz: my finale goes to —> #tanzania at 50 what do we have to show for it? by @asalim86 http://vijana.fm/2011/12/07/ni-hamsini-ni-hamsini-tanzania-at-50-what-do-we-have-to-show-for-it/ i saved best write up 4 last!

Swahili

@katebomz: nimalizie kwa —> #tanzania katika miaka 50 nini unacho cha kuonyesha? imeandikwa na @asalim86 http://vijana.fm/2011/12/07/ni-hamsini-ni-hamsini-tanzania-at-50-what-do-we-have-to-show-for-it/ nimehifadhi andiko bora zaidi hatimaye!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

say: we believe in allah and (in) that which had been revealed to us, and (in) that which was revealed to ibrahim and ismail and ishaq and yaqoub and the tribes, and (in) that which was given to musa and isa, and (in) that which was given to the prophets from their lord, we do not make any distinction between any of them, and to him do we submit.

Swahili

semeni nyinyi: tumemuamini mwenyezi mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa ibrahim na ismail na is-hak na yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa musa na isa, na pia waliyo pewa manabii wengine kutoka kwa mola wao mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

thus do we make our signs clear in diverse ways that they might say: 'you have learned this (from somebody)'; and 'we do this in order that we make the truth clear to the people of knowledge.'

Swahili

na namna hivyo tunazisarifu aya, na wao wakwambie: umesoma. na ili tuyabainishe kwa watu wanao jua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK